Waaah sikua nataka kutoka Machakos lakini hii by 8:30 nafaa kuwa kwa machine, ju huku hatuna GOD DID IT. Wacha watoto wa maskini tuingie kutafutia watu 250M
Unamake inappropriate jokes with the wrong person alfu inaturn out kukuwa lecture ya 2hrs on human rights, self love na mental health..kwani hamjui jokes?