Program Coordinator | 10+ yrs in dev work | Expert in project planning, budgeting & reporting | MS Office savvy | Organized & results-driven
Romans 10:13
@puntland97@MarekaMalili Ingia website ya tume ya madini
https://t.co/ip3dylfSDJ
Bei ya gold baada ya kodi leo ni 305,000 kwa Nyarugusi, Runzewe na kwingineko.
Jielimishe.
@Wakazi Na huo ndio ukweli mtupu.
Lazima waasisi wangetambuliwa na Hall of Fame tuzo kabisa, waliofariki kama Mtoto wa Dandu, Mr. Ebo nk. wangepewa respect yao.
Waliharibu kwa kusifia serikali kila wakati. Na tasnia nzima ya mziki kweli hitaji namba moja ni Arena?? Walipuyanga