Join our FREE Virtual Data Analytics Training and gain practical skills in:
Data Analysis
Data Visualization
Microsoft Excel
Power BI
AI & Emerging Analytics Trends
7–9 July 2026
5:30 PM – 8:00 PM
Scan the QR code to register today!
https://t.co/zOkAJ0DQAd
Saa hizi ukitulia kidogo unaona watu wanaambiwa waingie iTax, na labda hukumbuki PIN yako, but worry not! Kama uko na your national ID mambo ni rahisi, jaribu ujionee on https://t.co/upXsikkubR
#TaxMadeEasy
Kama bado hujafile returns zako, usisubiri mpaka dakika za mwisho.
Tembelea Authorized Service Partner aliye karibu nawe upate usaidizi wa kufile kabla muda haujaisha https://t.co/793c0Rg7uZ
#PlugwaMtaa#UshuruMashinani
Unahitaji tax msaada kutoka KRA?
Visit an Authorized Service Partner near you https://t.co/793c0RgFkx for assistance with filing your 2025 Income Tax Return and avoid the last-minute rush.
#PlugwaMtaa#UshuruMashinani
Mmetuita, na tumeitika! Sasa tuko pahali ulipo. Unahitaji usaidizi wa ushuru? Tupo. Una maswali kuhusu ushuru? Tupo.
Visit https://t.co/793c0Rg7uZ ujue mahali plug wa mtaa yako yupo na upate msaada unaohitaji.
#PlugwaMtaa#UshuruMashinani
Behind every success story is hard work.
Happy Labour Day to every hustler, builder, and dreamer 🇰🇪🔥
Ready to digitize your business? Contact us today at +254792644077.
Tag someone who deserves appreciation today 👇
Today, we took our Pearl Anniversary to Nairobi National Park and adopted one of the Big Five!
We named him Ushuru, because just like taxes, he is powerful, resilient, and essential to the balance of this great nation.
Tukuze pamoja!
#KRAat30#ProtectingOurHeritage