Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Luteni Jenerali (Mstaafu), Balozi Martin Nikusubula Mwakalindile. Tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa zawadi ya maisha yake na utumishi wake kwa nchi yetu kama Mwanajeshi, Balozi na Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (1983 - 1988).
Tutamkumbuka pia kwa kujitoa kwake katika ukombozi wa nchi za Kusini mwa Afrika, kama mmoja wa askari wetu waliofundisha katika Jeshi la FRELIMO kabla na baada ya uhuru wa Msumbiji.
Natoa pole kwa Mkuu wa Majeshi, Jenerali Jacob Mkunda, wanajeshi wetu wote, familia, ndugu, jamaa na marafiki. Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi. Amina.
Kikosi cha wachezaji 20 ambacho kesho alfajiri kitaondoka nchini kwa ndege maalumu kwenda nchini Botswana ambako kitacheza mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika.
Taarifa zaidi kwenye Simba App. #WenyeNchi#NguvuMoja
Pochettino confirms Roméo Lavia injury: “We are really disappointed as he was training really well. He twisted his ankle, we wait for more news asap”. 🔵🇧🇪
Hongereni vijana wetu wa Taifa Stars kwa kufuzu michuano ya kuwania kushiriki fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (2023 Africa Cup of Nations). Mmeandika historia kwani hii ni mara yetu ya 3 kufuzu tangu kuanzishwa kwa mashindano haya. Nawatakia kila la kheri.