@mshana76@nulphin We mussa ulishawahi kumuona??au umekaririshwa? Ndo maana mnaongozwa na mabumunda mnakaa kimya ila tunaokula kodi zenu ni sisi..nikwambie kitu mimi nimesoma bible o-level afu kasome Matrix utapevuka sana kiakili
@MKravemelanin@benjamathayo4@EmmaKarawa@nulphin We rwanda ushafika??hata border ya lusumo ushafika??kabanga au ngara ushafika?? au unaongea tu..sema tanzania sawa ila sio east africa๐ท๐ผ๐ท๐ผ๐ท๐ผ