Maisha ni kama mfululizo wa kutatua matatizo.
Unapokuwa unamalizana na moja, jingine tayari linafanya warm up😃
Tofauti si kukosa matatizo, bali kujifunza kuyakabili kwa hekima, uvumilivu na moyo wa kusonga mbele.🤛🏼
Kila Asubuhi mpya ni ushahidi kwamba Mungu bado hajamalizana na wewe. Shukuru kwa uhai, ombea nguvu, na tembea kwa imani.
Neema ya Mungu ikutangulie leo 🙏🏼
Usiruhusu matamanio ya muda mfupi yakuzime kiu ya kweli ya roho.
Mungu bado anawaita wenye njaa na kiu ya haki wamtafute Yeye kwanza.
"Lakini watafuteni kwanza ufalme wa Mungu na haki yake…”
Mathayo 6:33
🚨 Manchester United want to RE-SIGN Scott McTominay this summer. He is keen on a return to Old Trafford to silence his critics. [@TuttoMercatoWeb] #mufc