The book was well delivered to me in Kenya thanks to @MkukiNaNyota thanks to @Queenexbooks. @Dullahmwinyi1 My love for good Governance, Leadership and Politics is beyond borders. Waiting for @jmkikwete 's book.
GODBLESS OUR REGIONAL DIPLOMATIC TIES.
@mkainerugaba πππ So, by posting those pictures, you actually believe that man is Jesus Christ???
No one in this 21st Century knows how Jesus Christ looked like???
That guy you have Posted is simply an actor who played Christ in a movieβhis name is Brian Deacon. Google it and see π€£
@mangekimambi Hio inakwambia hata Marekani hawako tayari kwa Kiongozi Mwanamke.
Ilhali wao ndio mstari wa mbele kupiga debe usawa wa kijinsia (Gender Equality).
Lakini wanahubiri Maji wanakunywa Divai.
@godbless_lema Thanking the President or the government for services paid for by your taxes is the height of backwardness. I believe the late Founding Father, President Jomo Kenyatta, was absolutely right in his remarks about Tanzanians, Ugandans, and Kenyans.
Jana, tarehe 11 Septemba, nilipokea, kama ulivyo utaratibu, NAKALA za hati utambulisho za mabalozi wapya wa Rwanda, Ujerumani, Umoja wa Ulaya, Norway, Qatar na Saudi Arabia, kabla ya Mabalozi hao kupata fursa ya kuwasilisha hati rasmi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. @SuluhuSamia, katika tarehe itakayopangwa. Tulifanya mazungumzo mazuri na yenye tija katika kuimarisha mahusiano kati ya nchi yetu na nchi zao. Pia tulijadili masuala mahsusi ya ushirikiano yalipo mbele yetu na tulikubaliana kuhusu kuhusu haja ya kuwa na uratibu bora zaidi na kufanya kazi kwa karibu zaidi ili kupata matokeo makubwa na ya haraka kutokana na ushirikiano wetu.
Pia, kwa kuwa Wizara yetu ni ya Muungano, mimi na viongozi wenzangu wa Wizara tulipata fursa ya heshima ya kwenda kujitambulisha kwa Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi, na kupata maoni, ushauri, maelekezo na mwongozo wake kuhusu mazingatio mahsusi ya Zanzibar katika kazi zetu.
Asante Mtumishi Goodluck Gozbert, kwa kuruhusu kazi yako kutumika katika video hii fupi ya taarifa ya kazi.