Na wanaume niliwaambia kuna vitu yako haifai kuonekana na mwanamke,sababu akikosea aone,she will never look at you the same. There is a reason our grandparents and ancestors strictly used to have sex at night,sio ati walikua wajinga,apana, they knew. Mwanamke akiona mkundu yako nakwambia heshima hukatikia hapo,that is the most vulnerable body part for a man. Anaanza kuona ukiwa brukenge. Unamwambia kitu anakumbuka mkundu yako aliona,anajiuliza hii kumbavu inasema nini sasa,eh?
Ndio maana mimi hii ndoa yangu imekawia namna hii. Bibi yangu miaka hii tano nimekua nikiswaga yeye,west pokot yangu hajai ona. Isipokua ni ile siku moja akiwa na mimba aliniamsha saa nane usiku kuniambia anaskia kuninusa huko nyuma,na asiponinusa atakufa,hakuna siku ingine. Juu mimi kitendo huwa namaliza namna hii napiga gear ya reverse mpaka bafu. Navalia unyaso yangu huko. Natokelezea sasa kama john cena
Kama nyumba haina bafu,nikimaliza kutandika yeye namna hii,kabla agundue nimemaliza,nishaaruka chini ya kitanda. Namwambia niangalie kinyasa yangu apo kwa mablanketi. Na kama kitanda pia ni ndogo sigwesi ingia chini,naingia ceiling kama salamander. Namwambia susan nipatilie boxer yangu. Ndio nateremka. We must guard ourselves men
Bwana some of these things you will never learn in unifasti.
Still thinking that how you dress will make men treat you better is crazy bc a man will respect you bc he's a respectable person. Modesty will not make men treat you better. You'll cover your whole body even your eyes and ears and a man will still sexualise your nose.
After a burundian hawker kutoroka na elfu moja yangu akaniwachia ndoo ya njugu in the name of kunitafutia change i swore to myself sitawahi nunua kwa hawker tena, until juzi nikiwa stage natoka shule. So there is this kamzee alikua anahawk phone covers na ‘riquid’ screen protectors …Mimi nikiwa kwa gari akakuja akaniambia ‘msichana Naona uko na iPhone na hauna protector , Niko na ya hiyo simu na ni 1200 pekee’ nikamuambia mimi niko na 120 with the hope that ataachana na mimi aende anyway whoever said cheap is expensive really knew what he was talking about nkt…saa hii Niko natweet from my laptop .