We warned you before but you chose not to listen and killed our brothers!!
Hatujapona Na Hatutasahau
And You’ll All PAY For That…..Soon!!
Bado ninashangaa sana watu wanaosema tunachochea!!
Hivi kumwambia afande ateremshe bunduki ni unachochea au unataka Amani?
Kwamba ilipaswa niimbe afande usishushe bunduki, wapige bunduki uwaue…….hiyo ndio ingekuwa amani? Na sio uchochezi!?
Mbona mnakuwa makatili hivi, hadi mahubiri ya amani mnayaita uchochezi!!
Tuliwapa warning tukawaambia Teremsha Bunduki hamkusikia, Mungu atajibu damu zote mlizozimwaga.
Rest in peace to all our heroes 🤲
HATA SISI NI WAFU WATARAJIWA, But we will make sure before we die we have liberated this country.
In The Mighty Name Of Jesus WE PRAY 🙏
As Tundu Lissu faces trial today on trumped-up treason charges, we will do our utmost to keep international pressure on the Tanzanian regime — building on our recent meetings in Washington, DC, on this matter.
On the basis of all what I have said hakukuwa na committal. Ni ujinga mtupu. Hii mahakama haiwezi kuendelea kusikiliza kesi hii kama committal haikufuata utaratibu na haikuchukuliwa kwa mujibu wa sheria.
Naomba mahakama ifutilie mbali mwenendo mbali wa ile committal. Na kama itawapendeza mtoe amri kwamba hakukuwa na committal na mute kila kilichopo ili leo na mimi nikalale nyumbani kwangu"
I listened to Mh. Polepole live on Instagram today. On the same day, while someone was trying to hack his account, I received a text message that an attempt was made on my Instagram too. These tactics are familiar -the same way “Kishindo,” the fake paper and fake journalist, was traced & exposed, cyber fingerprints can be traced. Even if criminals succeed temporarily, cybercrime is punishable. Impersonating others to steal digital identities is a crime.
These people are breaking one law after another. A thief’s priority is always to steal. No noble person would go to such extremes to attack other voices unless they are covering their own corruption. A dark cloud indeed hangs over Tanzania. Rebirth will be needed to cleanse this level of evil.
Some individuals even pose as goodwill doers just to get close to good people for manipulation. Shame on you. Use the resources you are wasting to provide healthcare for dying pregnant women giving birth on the floor. Use them to build proper schools so students no longer sit on the floor. Use them to improve the lives of Tanzanian people instead of indulging in luxuries funded by tax money or trying to destroy the goodwill of others.
There is no darkness that lasts forever. Daylight always comes in the morning. Time for a clean-up.
Naikumbuka hii siku. Mida ya saa nane mch. Mdogo wangu na mwanangu walikuja kuniona jela. Wakati wanaondoka walikuta askari wengi sana nje. Wakajumuishwa ktk kundi la CDM. Wakapigwa sana. Tulisikia milio ya silaha. Mwanangu aliumizwa sana. Akaibiwa simu. Ilikuwa siku mbaya. 1/3
What have the Americans accomplished with their nighttime strikes on three nuclear sites in Iran?
1. Critical infrastructure of the nuclear fuel cycle appears to have been unaffected or sustained only minor damage.
Jamaa alienda Kununua Ubongo akaulizia bei,wa Mzungu wakamwambia unauzwa $500 wa mwarabu unauzwa $700 wa Mchina unauzwa $200 na wa Mwafrica unauzwa $2000, Akasema kwa nini wa Mwafrika unauzwa ghali wakamwambia hata uwe wa miaka 30 haujatumika ni vigin ila wa mzungu Umetumika
Vijana Wawili JOSEPH MRINDOKO Na JACKSON KABALO Wanaounda Kundi La “WACHOKONOZI” Wamevamiwa Na Watu Wenye Silaha Waliojitambulisha Kuwa Ni Askari Polisi Wakiwa Nyumbani Kwao Maeneo Ya Maji Ya Chai, Wilayani Arumeru Mkoani Arusha. #FreeWachokonozi
Naombeni RT 200🤝
Uncle @AdoShaibu nafikiri unatakiwa ujitafakari tena kwanini unapata heshima kubwa kwa waungwana wa hapa na kwakweli wanajaribu kukuonesha kuwa unafahamu kabisa unachokifanya kwa lugha yetu ni kuwa unajizima data. Unaujua ukweli anko.
Uncle @Sativa255 nimeona mjadala dhidi ya Kampeni yetu ya OKTOBA #LINDAKURA mjadala ambao wewe umeyoa mchango mkubwa kuuchochea. Mimi napenda mijadala ingawa majukumu ya ukatibu yananibana. Wewe ni 'familia' kama ulivyosema. Naomba nikupe siku ya leo tuongee hapa. Una maswali gani? Nitakujibu kadiri ya muda utavyoruhusu lakini leo nitakupa muda hapa tuongee. Haya twende kazi kwenye huu uzi.
Uncle @Sativa255 nimeona mjadala dhidi ya Kampeni yetu ya OKTOBA #LINDAKURA mjadala ambao wewe umeyoa mchango mkubwa kuuchochea. Mimi napenda mijadala ingawa majukumu ya ukatibu yananibana. Wewe ni 'familia' kama ulivyosema. Naomba nikupe siku ya leo tuongee hapa. Una maswali gani? Nitakujibu kadiri ya muda utavyoruhusu lakini leo nitakupa muda hapa tuongee. Haya twende kazi kwenye huu uzi.