Hapa butchery 2 ladies were ahead of
me kwa line, giggling & smiling with the
butcher guy. Wamekatiwa soft parts
wakatoka. Mimi nimefika hapo huto
msee anabeba shoka, imebidi nipige
kelele kidogo
#meme
Tukiwa form one kuna maasai tuliamka
tukapata maskio yake imefungwa kwa
kitanda na kufuli ya solex na nafunguo zikatupwa
Vituko vya boarding school bana .
Kuna time nikiishi kwa bro nilipata
akipea mama flani manguo nikajua ni mama fua, nika sneak nguo zangu zifuliwe pia.
Shida ilikuwa moja, kumbe hakuwa mama fua... Alikuwa mama wa children's home na bro alikuwa
ana donate nguo
Kuna day nimesimamisha hawker flani wa kuuza keki ni buy moja but nlikua na 1sausands, raiya akaniachia ndoo atafte change...
Kitu najaribu kusema ni ati nimewai buy ndoo iko na keki tano ndani za fifty Bob at 1K coz mwenye kuuza
hakuwai rudi