Sio kila anayekununulia kitu anakupenda.
Na sio kila asiye na pesa hana thamani.
Fikiria mara mbili kabla hujapoteza mtu wa kweli.
#DeepThoughts#Ukweli
Upendo haupimwi kwa gari, zawadi au muonekano.
Lakini siku hizi ndio kipimo kikubwa.
Halafu tunashangaa kwa nini mahusiano hayadumu.
#UkweliWaMaisha#Mahusiano
Watu hawaangalii tena upendo.
Ni nani atanunua gari, nani atatoa zawadi kubwa, nani ataonekana handsome au beautiful mbele ya familia.
Wanaume na wanawake wote tunaanguka hapa.
Mwisho tunawapoteza watu muhimu kwa sababu za kijinga.
#Mahusiano#UkweliWaMaisha#Love#Reality