Weka haya kwenye hadithi yako na urudi msimu ujao wa joto:
Kufikia msimu ujao wa joto, utakuwa na furaha zaidi, afya njema, umezungukwa na watu wa kweli, na unaishi maisha ambayo hatimaye yanajisikia vizuri kuamka. ๐ค
Ee Mwenyezi Mungu, nifundishe kutembea karibu nawe.
Ondoa kila kitu kinachonifanya niwe mbali na uwepo wako.
Nijaze kiu ya kukutafuta, moyo wa kukusikiliza, na nguvu ya kubaki ndani yako kila siku.
Amina ๐๐ผ
Kuna Akili Ya Kutafuta Pesa , Akili Ya Kutunza Pesa , Na Akili Ya Kuzalisha Pesa , hizo Ni Akili Tatu Tofauti ,
Hizi Skills Usipokuwa Kuwa Nazo Kama Kijana , Umeisha๐.
Kati ya mambo tunatakiwa kuomba Mungu kila siku na kuwa na consistency, ni kuwa na mahusiano bora kati ya afya ya akili, Mwili na Spiritual being.
Hivi vitu kwa kiasi kikubwa vinategemeana.
Kikiharibika kimoja, na vingine vinayumba.
Stay safe and God bless you always ๐๐ผ
Wanangu wa usafirishaji/uchukuzi hasa NIT, tukifungua macho, kuna fursa ya kusimamia daladala/gari za matajiri kitaalamu.
Kampuni yako kazi yake iwe kukusanya mapato na kusimamia gari kwa kila kitu. Utahitaji watu wa mechanics na automobile kwa hili.
Mchawi kuanza.
Watanzania wataanza kufanikiwa hasa pale watakapojua kuwa utajiri sio kumiliki Magari, Nyumba, Maduka, Ufugaji wa Ng'ombe , umaarufu, kuwa kiongozi serikalini.
Bali utajiri ni kumiliki Viwanda, Multinational Corporate, P.E, Active Real Estate, H.F, Stocks, ETFs, commodities.
Pasaka hii ikukumbushe kuwa hata baada ya giza nene, nuru ya ushindi huja. Upendo wa Mungu ushinde hofu zako na tumaini jipya lijaze moyo wako.
Heri ya Pasaka kwetu sote ๐๐ผ
Pasaka inatufundisha kwamba hakuna mwanzo mpya bila toba ya kweli, na hakuna amani ya kudumu bila msamaha. Hivyo, tujenge upya misingi ya mahusiano yetu ndani ya familia, urafiki na jamii kwa mawasiliano ya upendo, uvumilivu na heshima.
Happy Easter My Good people ๐๐ผ
Ukweli wa maisha ni kwamba dhoruba hazikwepeki magonjwa,migogoro ya kifamilia, uchumi mgumu,vita za kiroho au hali ya nchi kubadilika.
Hivyo, ni muhimu kujenga nguvu ya akili na hisia, kuwa na imani, na kujiandaa ndani kwa ndani ili kusimama imara hata siku ngumu zinapofika.
Neema inakubeba, kibali kinakutambulisha, na utiifu unaifungua njia ya mafanikio.
Usikimbize mafanikio, jenga uhusiano na Mungu, na njia zako zitanyooka.
Good Morning.
80 animation movies๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฌ
Which one is missing?
1. Rango
2. Migration
3. Tangled
4. Kung fu panda series
5. Coco
6. Frozen
7. Toy story
8. Zootopia
9. Luca
10. Encanto
11. Ratatouille
12. Puss in boots
13. Teenage mutant ninja turtles
14. Moana
15. Despicable me
16. Cars
17. Shrek
18. Up
19. Smurf
20. Hercules
21. How to train your dragon
22. Prince of egypt
23. Mummy
24. Aladdin
25. Beauty and the beast
26. Cinderella.
27. Sleeping beauty
28. Ice age
29. Madagascar
30. Red beast
31. Turning red
32. Princess and frog
33. Tarzan
34. Minions.
35. Incredibles
36. Raya and the dragon
37. Onward
38. Little marmaid
39. Hotel transylvania
40. Brave
41. The imperors new groove
42. Mulan
43. Enchanted
44. Anastasia
45. Rio
46. Megamind
47. Snow white and seven dwarfs
48. Boss baby
49. Pocahantas
50. The angry birds
51. Corpse bride
52. The secret of pets
53. Peter pan
54. Chicken run
55. Home
56. Turbo
57. The croods
58. Luck
59. Epic
60. Pinocchio
61. Ice age
62. Addams family
63. Mavka the forest song
64. Bad guys
65. Trolls.
66. Wish dragon
67. Vivo
68. The spongebob
69. The last airbender
70. Godzilla
71. Earwig and the witch
72. The booka of life
73. Abominable
74. Nimona
75. Lion king
76. Coraline
77. The monkey king
78. Ruby gillman
79. Back to the outback
80. Klaus
POULTRY FEED FORMULATION (GROWERS).
Grower Feed (9-20 weeks)
- Maize: 60 kg
- Soya Meal: 14 kg
- Fish Meal: 10 kg
- Maize Bran: 7 kg
- Sunflower Cake: 5 kg
- Limestone: 2.5 kg
- Bone Meal: 1.2 kg
- Salt: 200 grams
- Premix: 100 grams
- Toxin Binder: 50 grams
This formulation lowers the protein content to around 16-18%, which is ideal for the continued growth and preparation of the birds for laying.
#PoultryFarming
Kwa wale mnaopenda kusali Zaburi. Unaweza kuanza na Zaburi 51 ya toba, kisha Zaburi 35 ya kuomba kupiganiwa halafu Zaburi 91 ya ulinzi na baraka, malizia na 23 ya wingi na baraka. ๐๐ป