Keti is a platform that connects users directly to open housing and their landlords and avoiding the hustle of having to pay a 1 month rent fee to a dalali.
Watu wengi Sana wanafikiria kuwa haiwezekani kabisa kumtoa Dalali kwenye process ya kutafuta mahala pa kuishi.
Sisi hapa @KetiApp tunasema Inawezekana.
Jifunze jinsi inavyo wezekana.
A long thread!
Tatizo moja kubwa Sana ambalo tulitaka kutatua na @KetiApp ni malipo ya mwezi mmoja Kwa dalali.
Hilo tatizo sasa linatatuliwa na Waziri Lukuvi.
Sasa tunaweza angalia uwezekano wa kufanya kazi na madalali.

All in all, despite our plan, hatujui what the future holds, maybe we will find a way to work with madalali, maybe not.
To know more about our progress,
Sign up for our newsletter: https://t.co/26RtHbSDRI
Mange anawasagia kunguni madalali @iamKaga
Ila kwa experience yake ya Dubai na America. Anakubal wapo ila hawalipwi kias kikibwa hvyo
Ndio Estate yetu inakuja kufanya
Never knew there’s tenants in TZ paying madalali. I personally think it’s BS. I’ve got a lot of close relatives in that business and they all pay madalali wao. Signs of a cheap landlord right there
@tom6dejong@iamKaga Wapo hawa jamaa @KetiApp wanajiandaa kulaunch , wacheki so you guys compare notes
In the end, it'll all about moving our society forward, isn't it
Our problems, solved by our people
Umekutana na:
nyumba nzuri,
mazingira mazuri,
eneo zuri,
bei sio mbaya,
But malipo ni ya Miezi 6 au mwaka mzima.
so unaishia kuiacha.
Umewahi Kutana na hii situation?