Hawa Rechars Clasic wanakuja kwa kasi sana aisee!!
I think wanaenda kuwa waburundi wa kwanza kuvuka kimataifa ๐
What a best song ๐
Video kwa Comments ๐
Kuna hii hoja ambayo kaileta huyu Majanaba , kwamba walio Ajiriwa Wana fanya kazi Kwa siku 365 (mwaka) ila Wana Lipwa siku 12 tu.
Wengi ni kama hatuja muelewa Yani.