@BarakaMaviatu Watu wanasahau kwamba hata 2021 tuliona afadhali na wengiwalisherehekea, na matokeo yake ndio haya na hapa tulipo! Na tunasahau kwamba likija suala la maslahi na kutafuna nchi CCM ni moja na ni ile ile hata kama atakayetawazwa kutoka kwenye kundi lao ni askofu au padri.
@Kevin_LVictor3 Hapa hakuna namna brother naona tatizo hili sio la kuisha leo. Na wenye wanazidi kua vicious, tukicheza watoto wetu wataishi kama mateka.
@BarakaMaviatu Sio kwa huu mfumo. Kila siku hali inazidi kuwa mbaya. Tuko'drawn na mambo ya kipumbavu kiasi kwamba nobody cares what's going on or what will happen next. Tungekuwa proactive au reactive tusingefika huku.
@BarakaMaviatu Imagine watu wanaopewa nafasi ya kuendesha mashirika ya umma na agencies mbalimbali wangekuwa na mentality kama ya wale wa private sector lakini serikali pia ingekuwa makini kuhakikisha wanafikia KPIs wanazojiwekea... huu uchumi ungekuwa wa tofauti sana na watu wasingelia njaa.
@ItsKamala Unahisi shida au target ni kuleta impact au kupata pesa? Kama bado unafikiri watu wanaenda bungeni kwa ajili ya maendeleo ya wananchi na si maendeleo binafsi, basi bado hujawaelewa vizuri wanasiasa.
@mfa_tanzania Would it be an opportune time for the national language to be formally adopted as the medium of instruction in secondary schools, high schools, colleges, and universities?