Just Because You Lost Me As a Friend, Doesn't Mean You Gained Me As An Enemy. I'm Bigger Than That, I Still Wanna See You Eat, Just Not At My Table. #Jiongeze 😎
Kiongozi Anayemshauri Mshauri Wake Namna Ya Kumshauri Huyo Hashauriki,Tusiamini Vicheko Hata Wasio Wahadilifu Ni Hodari Sana Wa Kuzungumza Na Kuvaa Vizuri Pia Kama Nyie Na Sisi.* #D1#CHG#FikraChanya#Jiongeze 😎
As Much As I Don't Wanna Marry The Wrong Person, I Also Pray I Am Not The Wrong Person To Whoever Happens To Be My Partner In Life. #SwaliKablaHujaswaliwa#Jiongeze 😎
Katika Maisha Hatuwezi Kumpata Kiongozi Mkamilifu, Ila Tukituliza Akili Na Mihemko aTunaaweza Kumpata Kiongozi Sahihi, Mungu Hajawahi Kuumba Mtu Mkamilifu, Ila Walio Sahihi Kwa Wakati Tuutakao Wapo Miongoni Mwetu. #D1#CHG#Jiongeze 🙏🏾 😎
#Tofauti
"Kiongozi Huwaleta Watu Pamoja Ili Aendelee Kuwaongoza Na Mtawala Huwagawa Watu Ili Aendelee Kuwatawala"
Hivyo Tafsiri Sahihi Ya Umoja Ni Uongozi.#D1#CHG#Jiongeze 😎
Kuwa Makini Huruma Huponya Na Huruma Pia Huponza. Si Kila Mtu Wa Kuhurumia, Si Kila Wakati Ni Wa Huruma. Wako Wengi Maisha Yao Yamegharimika Kwa Sababu Ya Kuendekeza Huruma. Huruma Iliyopitiliza Ni Udhaifu Mkubwa.
#PunguzaHuruma#D1#CHG#Jiongeze 😎
"Hatuwezi Kwenda Peponi Sababu Tulisali Sana, Tulifunga Sana, Tulinena Kwa Lugha, Tulitoa Mapepo, Tulisali Novena Na Litania Nyingi. Hukumu Ya
Mwisho Itahusu Ni Kwa Kiasi Gani Tuliwajali Wengine Maishani Mwetu" #D1#CHG#Jiongeze😎
Katika Maisha Yako Kuna Mambo Ya Kuyakimbia Na Kuna Mambo Ya Kuyakimbilia, Fanya Maamuzi Yako Sahihi Kwa Utulivu, Usije Kumkumbatia Aliyestahili Kupungiwa Mkono Kwa Mbali..! #D1#CHG#Jiongeze😎
Ni Huruma Za BWANA Kwamba Hatuangamii, Kwa Kuwa Rehema Zake Hazikomi. Ni Mpya Kila Siku Asubuhi; Uaminifu Wako Ni Mkuu. BWANA Ndiye Fungu Langu, Husema Nafsi Yangu, Kwa Hiyo Nitamtumaini Yeye. BWANA Ni Mwema Kwa Hao wamngojeao,
#D1#CHG#Jiongeze#Maombolezo 3:22-23 🙏🏾
Utajiri Wa Kwanza Ni Kuwa Na Mungu, Utajiri Wa Pili Ni Kuwa Na Afya, Utajiri Wa Tatu Ni Kuwa Na Watu, Utajiri Wa Mwisho Ni Kuwa Na Mali.#MunguPekee#D1#CHG#Jiongeze 🙏🏾😎