@Radio47_Kenya@CaptMwashumbe@Alex_Mwakideu#MwashumbeNaMwakideu Goood morning Big Boiz of Radio! Shabiki Shakiki hapa wa Breakfast 47 hapa! Natakia mafans wote wa Breakfast 47 siku njema ya BARAKA na FANAKA na mboka zetu zijipe tusirudi nyumbani mikono mikavu!!
@Radio47_Kenya@EvahMwalili#Nuru47 Bwana Yesu asifiwe Mama Taifa! Mimi ni shabiki shakiki wa Nuru47. Nawatakia wana ligi siku njema iliyo jaa BARAKA na FANAKA zake Mwenyezi Mungu!! Tukutane Galilaya.
@Radio47_Kenya@CaptMwashumbe@Alex_Mwakideu#MwashumbenaMwakideu
Good morning big boiz of Radio! Nawapata LOUD and CLEAR nikiwa ndani ya Super Metro Fleet No: SM 369 en-route kutoka Utawala hadi CBD ndani kisha niabiri gari lingine nielekee Westy mahali nafanya kazi! Good day!!
@Radio47_Kenya#HapaNdipo Oburu ni mkongwe anafaa apumzike awachie vijana baru baru kama Edwin Sifuna na kina Babu Owino waongoze chama cha ODM kuelekea mbele.
@Radio47_Kenya@Radio47_Kenya#HapaNdipo Gavana wa Nairobi aliye mamlakani kwa wakati huu ameshindwa na kazi kabisa. Ni sawa serikali kuu iongoze mji wa Nairobi kwa saa hii ili miundo msingi ya Jiji la Nairobi iwe sawa.
@Radio47_Kenya#HapaNdipo Gavana wa Nairobi aliye mamlakani kwa wakati huu ameshindwa na kazi kabisa. Ni sawa kabisa serikali kuu iongoze mji wa Nairobi kwa saa hii.
@Radio47_Kenya#HapaNdipo Washikane ama wasishikane wembe ni ule ule! You cannot wish away an idea whose time has come. 2027 ifike haraka upesi tugeuze ramli ya uongozi.