@MariaSTsehai Huyu hana usafi wowote wa kukemea maovu. Mtu aliyekubuhu kwenye usizifu, biashara ya madawa ya kulevya na ubadhirifu wa mali za kanisa anapata wapi guts za kumtukana raisi?
@MariaSTsehai Hakuna lolote huyu atashughulikiwa ipasavyo. Mdomo mrefu umefika mwisho wake. Kutumia kanisa kutukana na kukashifu watu hususani taasisi ya uraisi haikubaliki. Huyu alikuwepo kipindi cha Magufuli na utekaji ulipindukia mipaka na hatukumsikia akiongea chochote.
@HecheJohn Mijitu minafiki ni rahisi kujidhirisha yenyewe. Lengo la Gwajima la kukosoa serikali iliyopo lingekuwa na maana kama angekosoa haya wakati wa serikali ya awamu ya 5 ambayo ilikithiriri kwa utekaji. Mbona alikuwa kimya?
Kuna kipi kimemsukuma. Au ni udini na kanisa?
@HecheJohn Kachelewa sana. Anatafuta gear ya kukubalika wakati muda wake wa ubunge umeisha. Kama kweli ni mpenda haki hata hiyo nafasi ya ubunge asingeichukua kwasababu hakushinda. Mijitu ni minafiki sana. Ajipange kwenda kukusanya sadaka na kuwaka kondoo na mkono wa bouncer. Hakuna lolote.
@abissay_stephen Wale mambumbumbu watakuja kusema unatumwa na Yanga. Yale majamaa majinga sana. Ukiwaambia kuwa Mpanzu sio mchezaji mzuri bali machachari utafunga comments kwenye page yako kwa matusi watakayokuletea. Wachezaji wa mechi ndogo ni kazi nyepesi sana kuwagundua na Simba wapo wengi.
@moshijnr Mtaandika sana mpaka vidole vipate sugu. Kama ana mkataba hizi porojo za kujibu jibu zinatoka wapi? Mayele na Max mlivumisha wapo Yanga kwa mkopo , mbona Yanga hawakujazana mitandaoni kujibu hizo hoja?
Simba mna shida gani?
@TanzaniaLeaks Hakuna lolote unapiga makelele tu. Hivi kanisa linaloruhusu ushoga na usagaji lina credibility gani? Nyinyi ni wabaguzi wa kidini tu hamna jipya. Samia anahusikaje na ugomvi wa Padre na watesi wake? Wewe unatumia mkundu kuwaza nini?
@HecheJohn Hakuna lolote upuuzi tu. Sasa hayo mabarua yatakusaidia nini? Kwahiyo mlitaka aondoke Mbowe mje mfanye usenge huu?
Kila kitu kina mwisho wake na hiki chama kitaenda kufa na kufutika kabisa.
@hamzaalbhanj@privaldinho Nani kakwambia anakuhitaji? Usilazimishe watu wakubali mtazamo wa hovyo. Wewe ni nani kwenye soka mpaka unaandika urojo wa kipumbavu kama huo. Wewe ni shabiki maandazi tu huna lolote.
@Lissu_2025 Mahafidhina ya Chadema yamejazana hapa kutetea upuuzi. Lissu aachwe aseme ukweli. Chama hiki kimekuwa cha hovyo. Hata kama katiba ya chama ndiyo muongozo, mapungufu yake lazima yasemwe. Hiki chama ni cha kibaguzi, ukanda, ukabila na udini.
@MickyJnr__ After scoring two cheap goals in one year and a half you are coming here to hype the flop of the year. This is nonsense. You can stay with him so that people can prove again what I have written here. Only a foolish coach will need Kibu in his team.
@ahmed__ally Hata lawama za GSM kuharibu League hatujazisikia baada ya hizo mechi mbili. Tungetamani iendelee hivyo hivyo mpaka mwisho wa League. Kila team ishinde kwa kikosi chake tusitafute visingizio mwisho wa msimu. 😀😀😀😀😀😀😀😂😂😂😂