@mangekimambi Ila mdada amepoteza popularity kwa Kasi. Hizi habari kama unazilazimishia sana. Kama kuna kitu hatari zaidi kwa sasa ni ajali za bodaboda na hepatitis B. Wenzako wanazifanyia kazi kwa weledi tu bila taharuki
@SocialtyPro@Mzeewajambia Kupotoeshana hakutufanyi tuwe wamoja Bali ni dharau kuhisi tunaweza kuwamezesha watu ujinga na wakaupokea ili baadae atudharau
@millardayo Kununua umeme nje tena! Mi nilimwambia kijana mmoja kuwa, wakati kidatu inajengwa tuliambiwa hii ni komesha! Ikaja Mtera tukaambiwa hii ndio baba lao! Ikaja Kihansi, hapa kabambe! Ikaja JNHP tukaambiwa upo na ziada kwa miaka 30! Sasa ikija ya kununua naanza kupata kizunguzungu
@albogastbm Mnaumia mkiwa wapi. Mlianza ooooh Hamisa na Ki hawaendani, mmehamia kwenye mechi za Yanga ilhali mmesahau Makolo wanapeana good time na Namngo, Azama na Kastal. Huko kooote mpo kimya. RageA alisema nyie ni mbumbumbu, hakukosea