Wakuu wa mikoa na wilaya acheni kutanua na nagari makubwa fanyeni kazi Zanzibar inasikitisha kwa kukithiri uhalifu mauaji na kukaba..Kumbukeni Raisi alikupeni maagizo
Nasikitika kuwajulisha kuwa aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Elias John Kwandikwa amefariki dunia. Nitakumbuka umahiri wake katika uongozi na uzalendo. Natoa pole kwa familia, Jeshi, Bunge na wananchi wa Jimbo la Ushetu. Mungu amweke mahali pema peponi, Amina
Ijapokuwa kashindwa kuweka history ya kuchukua kombe bila kufungwa but atatwa EPL soon...sasa nyie kina Chelsea..manyoya utd..arsenal... Nyie si mnaugua CORONA sasa mnafurahi nn
Hongera Madagascar afcon ndio Mara yenu ya kwanza kushiriki lakini mnaonesha ukakamavu na ushindani..wenzenu Tz wanamalizia kuangalia pyramid warudi nyumbani kucheza KANYAGA..