Mtu unamtukana na kumkashifu mbowe hata ubwabwa wa shingles haujakutoka. WEWE BADO UWEZO WAKO WA KUFIKIRI NA KUJUA MAMBO NI MDOGO, LEO UNAMUONA MBOWE HAFAI DUUUH
Nimekumbuka miaka kadhaa iliyopita kuna siku tulikuwa tumetoka kwenye msiba mimi wabunge fulani na Mstaafu tukaenda mahali kupata Lunch.
Tukiwa pale akaja Dr. Mashanji enzi izo akiwa Katibu Mkuu basi bhana baada ya kula na kunywa Mstaafu akaanza kumuwakia Mashinji maana ni kama walikuwa wamezinguana, mwisho mstaafu alimwambia Dr. Mashinji "This is my Party, This is my Property" nadhan wote tuliokuwa pale hatukuelwa na tuliona ni maneno ya kawaida tu.๐
Binafsi nimekuja kuelewa hii sentensi baada ya Mhe. Lissu kutangaza nia yake ya kugombea Uenyekiti wa CHAMA Taifa.
Nikaelewa zaidi baada Mhe. Lissu kushinda na Mstaafu kuanza kutumia watu wake kuhujumu CHAMA mara kukishitaki kwa Msajili.
Walipoona Mwenyekiti Lissu na Makamu Heche wamewasha moto wa #NoReformsNoElection na Wananchi wameupokea vilivyo.
Wakamkamata Mhe. Lissu na kumpa kesi ya Uhaini wakajua ndo moto wa #NoReformsNoElection utazima.
Walipoona Mhe. Heche anaendelea kuchanja mbuga na Wananchi wanatuunga mkono wakimbilia Mahakama.
Wakatumia Mahakama kuzuia baadhi ya Viongozi wetu kufanya shughuli za kisiasa.
Na bado wanaendelea kupambana kuhakikisha Mhe. Lissu hatoki jela.
Kiukweli ile siku ya January 21 Wajumbe tulifanyakazi kubwa sana kuhakikisha "Property" inatoka kwenye mikono ya mtu na kuirudisha kwenye Mikono ya Wananchi kwa hili acha tujipongeze maana haikuwa kazi nyepesi ila ni uweza wa Mungu tu.
Haya wale wenye maumivu Mstaafu akiguswa uwanja wenu mnaruhusiwa kutukana maana kutukana wakati mwingine kunasaidia kupooza machungu.๐
@rose_mayemba WAZALENDO WAKIWA CCM LAKINI WAKIWA CHADEMA MAMLUKI?? G55 WALIKUWA WAZALENDO WACHADEMA WALIOCHOKA UKANDAMIZAJI JE MLIFANYAJE SI MLIAMUA KUWAITA MAMLUKI?
@HecheJohn Kwa Kuwa wafuasi wako uwezo wao wa kufikiri ni mdogo sana watalibeba hilo kama agenda lakini kwa muerevu wa mambo atang'amua nini kinaendelea kati yenu mliopo uraiani na uyo mfungwa, JENGA CHAMA PUNGUZA TAARABU
Someni hii THREAD ya Fortunatus ili muelewe UBAYA wa UVUTANO wa Kidini.
Mwaipopo AACHE kuleta UHASAMA baina ya dini zetu immediately!
Those who forget history are doomed to repeat it.