3/5: Sayari na Mwezi wetu hulizunguka Jua, lakini pia Jua huzunguka black hole, hii inamaanisha kwamba pia sayari zetu huzunguka black hole vilevile, kama umehisi kuchanganyikiwa tazama video hapo juu utanielewa nachokisema.
1/5: Tunajua kwamba Jua ni kitovu cha mfumo wetu wa Jua(Solar system) na sayari zetu huzunguka Jua. Lakini ukweli ni kwamba Jua halipo stationary na inazunguka kitu kikubwa zaidi kinachojulikana kama black hole.
@CypherSmitRowe Sayari zinazozungukwa na Pete ni pamoja na Jupiter, Satuen, Uranus na Neptune.
Wanasayansi hawana jibu la moja kwa moja kwamba hizi pete ziliundwaje kuweza kuzunguka hizi Sayari, Lakini wanazo nadharia mbalimbali zinaelezea kuundwa kwa pete hizi. Inaendelea..
Ni hivyo tuu unakuwa umeupata mzigo wako kiulaini. Next time nitawaletea Uzi wa jinsi ya kufanya biashara bila ya kuwa na frame na mambo yakaenda.
#KibuyuMabiznenga 👊
Utamwambia Supplier aandike majina yako na namba zako za simu kwenye Mzigo wako, ilii kwamba huo mzigo wako usipotee na uwe rahisi kujulikana ni mzigo wa nani
Jamaa( Silent Ocean) watakutumia Address yao iliyopo China, na wewe iyoo address utamtumia Supplier wako kwamba mzigo wako akisha ufanyia packaging upelekwe kwenye hiyo address ya Silent Ocean
Kama ni kwa Meli kuna hawa Shipping agent maarufu sana wanaitwa Silent Ocean, kuna wengine Mapembelo Cargo, na wengineo utachagua nani umtumie kusafirisha mzigo wako ufike Tanzania