Ntaanza kupost kazi za uhakika hapa zilizopo Dubai utatuma CV direct kwa mwajiri ukipata kazi mie usinipe hata Tsh mia niombee PEPO pekee 👊🏿
"WOTE TUPATE"
Cv yako hakikisha ina picha yako na elimu na experience zako usisahau Skills ni KEY sana+ email yako na Telephone no yako
Leo tarehe 12/12/2025 , Mwenyekiti wetu ametimiza mwezi mzima tangu mara ya mwisho alipoletwa Mahakamani.
Mlimkamata kwamba mna kesi, mna mashahidi na mmejiandaa kumaliza hii kesi. Watanzania wajue na Dunia ijue huo uhaini unaofanywa na mwanasiasa anaekupinga kidemokrasia.
Leo anakaa ndani bila sababu na hakuna kinachoendelea, vyombo vyetu vya dola, mahakama zetu zinatumika kuumiza watu kwa malengo ya kisiasa..
Unamwambia nani kufuata sheria wakati wewe haufuati sheria.
Utawashawishi vipi wananchi kuamini na kuheshimu mahakama za aina hii, nani anaweza kuja kuwekeza kwenye sehemu ambayo mahakama zake zinafanya mambo kama haya?
Mleteni Mwenyekiti mahakamani au futeni huu uhuni wa kutumia mahakama kuumiza watu ambao mmeshindwa kujibu hoja zao..
Mwenyekiti wetu hatakubali ushawishi wenu wa aina yoyote, hawezi kutoka nje ya Nchi kama mnavyotaka hapa ni kwao na hawezi kutoka kwa masharti yenu.
#FreeTunduLissu
Hali ilikuwa mbaya zaidi katika miji ya Wete, Micheweni na Chakechake kisiwani Pemba, ikidaiwa askari waliingia majumbani na kuwanajisi wanawake
Baada ya kudaiwa kuua zaidi ya watu 35 na kujeruhi 600 Unguja na Pemba
Nimetoka Ukonga kumuona Mwenyekiti, Yuko imara na anawasalimia wote.
Anatoa pole kwa Watanzania wote waliopoteza maisha, familia ndugu na marafiki.
Anatambua watu waliopoteza viungo na kubaki na ulemavu.
Ametoa pole kwa wote waliopoteza mali pia.
Damu ya wenzetu haijamwagika bure na hakuna atakaefunika jambo hili bila uwajibikaji.
Msimamo wa Mwenyekiti uko thabiti, Yuko imara na mwenye afya njema.