Kutoa takwimu za wenzetu rahisi na Raha sana kwa sababu wanatoa takwimu kwa uwazi.... Millard, lini utawahoji wizara ya afya watoe taarifa za maambukizi frequently kama hivi?? Wizara bado inaendelea kusubiri maboresho ya maabara ya Taifa?? Nchi yangu Tanzania!
Matokeo ya maombi yenu ya kitaifa ya siku 3 yameanza kuzaa matunda sasa;
👉Mufti amepata corona 🦠🦠 na yuko karantini Masaki kwenye nyumba ya serikali
👉Ndugu zake wametoka Tanga kuja kumuona tangu Ijumaa wamezuiliwa kumuona na wako mpaka sasa nyumbani kwake Kinondoni
@umwalimu taarifa toka wizarani kwako ni kuwa vifo vya corona vimepindukia idadi ya kutisha na umejulishwa jioni ya leo kuwa mochwari zimejaa Arusha, Dar na Mwanza!
Watu wanakufa hakuna pa kuwaweka! I never thought mtafika level ya kishetani kiasi hiki! You failed this nation
Mapenzi_101: Maisha bila mapenzi ni sawa na mti usiochanua maua ama kuzaa matunda. Maisha bila mapenzi ni sawa na shamba la jangwani. Penda mpaka ukose usingizi. Hakuna kitu kizuri kwenye maisha kama kupendana. Pendaneni sana! #NjeYaBox#HK
Finished summing up numbers of unreported corona death in this country! 😭😭😭 i can only sum up by saying
"WE ARE LIVING IN DARK AND DEVASTATING DAYS"
Yalifanywa makosa makubwa sana June 2015 pale Dodoma
Kila mmoja wetu akitimiza wajibu wake kama walivyofanya @Roma_Mkatoliki na Stamina mchakato wa mabadiliko chanya utakwenda kwa kasi nzuri. Kupitia sanaa wametoa elimu na mtazamo wao juu ya mapambano dhidi ya #COVID__19 - https://t.co/DJyVx9RUjR via @YouTube#ROSTAM#SimamiaHaki
Wenye biblia someni 👉Mambo ya Walawi 26 (32-33)
• hapo ndipo tulipofika kama nchi ya Tanzania.Damu na vilio vya wenye kuonewa na kuteswa na utawala wa Meko sasa inalia nyikani kama ilivyofanya damu ya Habili sawa na Mwanzo 4:10
• kinachofuata kwa Meko ni 👉 Mwanzo 4(11-13)
Moja ya sababu kwanini mtoto wa kiume anahitaji mwanamke ni kwamba,ni hatari sana mtoto wa kiume anayejitegemea kuwa na uhuru uliopitiliza.
Anahitajika mtu mbali na mzazi kubalance huo uhuru.
Waziri wa afya alipoulizwa kwanini hawafanyi 'mass testing' akasema wanapima wenye symptoms. Rais anashangaa kuona positives nyingi kutoka kwa walioonesha dalili? Kwamba wataalam wa maabara ya Taifa wanatumika na 'mabeberu' kuleta matokeo positive ya KORONA? Kauli nzito sana hii.