Mtaenda kwenye show zao;
Mtasapoti kazi zao;
lkn kwenye hali hii ya msiba mkubwa hutasikia hata wimbo wowote wa kufariji kutoka kwao.
Tunafeed kwenye content zao ila hatutaona hata "pole" yao.
Mainstream kimya;
Online media kimya;
Wasanii kimya;
Hakuna sauti ya kuwasemea raia
@MagdalenaJ81011 Sisi walituamaHamasisha Tuandamane pale Mbagala rangi tatu mwisho wa siku waka ondoka tukaanza kupigwa risasi na watu kibao wakafa pale pale