Wanangu wa kubeti leo ni Jumamosi siku yetu ya bahati mapemaa tunaingia kazini kumtafuta kanjibahi sasa kama una mkeka tupe code kwenye comment tuuchambue tuuweke fasta fasta leo timu ni nyingi tuwe makini
Manzi anashangaa how tuko talking stage.
Na its been three days since aone simu/sms yangu.
Dada mie nina majukumu, kuna watu wanaonitegemea, muda mwingine nakuwa busy nachoka akili mpaka nasahau kabisa kama nilichukua namba ya mtu.
Kama unatafta mwanaume wa kukumbusha how beautiful you are kila asubuhi, nenda kwa ma chawa wa siasa wanaijua hiyo kazi vizuri.