TULIPOSEMA siku ya tarehe 16/08/2026 wengi hawakuelewa tunaongelea nini.. Hawakujua Tanzania inakwenda kupita kwenye nini na kwa nini ilihitaji maombi mazito sana ili ivuke salama..
Sisi tumetimiza wajibu wetu na tunamshukuru Mungu wa Isaka na Yakobo kwa kulishikilia hili taifa kwenye nyakati hizi na wakati wa mikingamo mikubwa hivi..
TUNAKUSIFU na KUKUTUKUZA wewe Mungu kwa kuwa sifa na utukufu ni vya kwako wewe.. Hakuna Mungu mwenye nguvu kama wewe na hatakuja kutokea mwenye nguvu kama wewe..
ASANTE kwa kusikiliza maombi ya watoto wako na leo hii taifa hili umelivusha salama na kwa mkono wako limefanya mabadiliko ya cheo kikubwa sana kwa utulivu na amani kubwa sana .TUKURUDISHIE nini Mungu zaidi ya kusema asante na JINA lako lipitalo majina yote liabudiwe na litukuzwe milele yote hata ukamilifu wa dahari..
TULIPOONA haya kiroho tulisema tunahitaji kuliombea hili taifa lakini watoto wako waliopotoka na kushika njia za yule mwovu shetani wakawa wanatubeza na kunywa pombe vilabuni lakini wewe ni Mungu wa huruma wasamehe na ulevi wao na kutokuliombea hili taifa..
TUMEKUSIHI sana tushuke madhabahuni lakini umetukemea na kusema tusiwe na visingizie kama Yoshua na kusema sisi tungali watoto na tuonaona ufito wa mlozi na kuogopa..
TUMETAKA tupumzike kuomba umetukataza na kusema tutazame Yoshua 1:8 mpaka utakapotusemesha tena. SISI ni nani tupingane na neno lako basi tutatenda sawa na maagizo yako!
LEO Tanzania imepata Makamu wa Rais Mpya na kazi inaendelea ilipoishia📌
AMEN..
#KigogoMediaUpdates
🚨KAMA UNA DINI NA UNAAMINI KATIKA YESU KRISTO ALIYE HAI BASI TUNAKUSIHI NA KUKUOMBA...👇🏾
💡Ombea sana hii nchi inaitwa Tanzania asubuhi mchana na jioni bila kuchoka na kukoma kwenye zamu yako ya kufanya hivyo..
💡Tanzania inakwenda kupita kwenye mtihani mzito,sehemu ngumu sana na mtikisiko mkubwa sana utatokea katika historia yake tangia kuumbwa kwa ulimwengu huu.
💡Ndani ya miezi 2-3 kuanzia sasa itakuwa migumu sana kwa taifa hili na jambo hili linalokuja lisipopita salama basi hakutakuwa na Tanzania tena.
KWA KUJUA haya sisi wenye imani katika Yesu Kristo aliye hai acha twende mlimani na madhabahuni pa BWANA YESU kwa ajili kumlilia MUNGU na kumuomba asije kutuacha maana gharama yake ni kubwa sana..
NYIE ENDELEENI KUNYWA POMBE NA KULA KULA VITUMBUA ,SISI ACHA TUTAWAOMBEE TOBA KWA MUNGU JUU YA NCHI HII NA UWEPO WAKE... TUTARUDI PALE BWANA WETU YESU KRISTO AKITUSEMESHA NA NENO LAKE KUTIMIA..🙏
KAENI KWA AMANI...NA BWANA AWATAZAME KWA USO WAKE WA FADHILI NA AWAHURUMIE SANA MAANA HAMSIKII..📌
#KigogoMediaUpdates
Tukija kuweka hadharani madudu ya huyu Dodoma boy ndo mtaelewa kila kitu na hata hawa wanaomsifia kama waliojitoa ufahamu wajipange
We are looking at serious stuff!
Mjishikilie
#TutaelewanaTu
‼️🚨TAREHE YA KUZALIWA INA SHIDA GANI?‼️
Katika tovuti ya Bunge, Deogratius John Ndejembi ameandika kuwa amezaliwa Julai 12 1983
Shida ni kwamba tarehe yake halisi ya kuzaliwa ambayo iko katika nyaraka zake zote za zamani zinaonyesha alizaliwa Julai 12 1986. Mwaka 2018 walienda kumtolea passport mpya na walibadili mwaka wake wa kuzaliwa pamoja na jina lake la kati ambalo zamani ilikuwa Deogratius Bona Ndejembi - swali langu kwa nini? Wanaficha nini?
Kwa mtu wa kawaida hata tusingekuwa na habari - no big deal kila mtu na maisha yake lakini alipopendekezwa kuwa Makamu wa Rais (iwe haramu ama la lakini anaenda kupewa dhamana hii ya kikatiba) basi ni wajibu wetu kumchambua! Huyu kesho Samia Suluhu yakimkuta ndo atatangazwa kuwa Rais na kwa katiba hii atakuwa na nguvu kubwa hadi vyombo vya dola vitamgwaya na kutaka kumfurahisha kwa lolote! Na tulishapitia haya sasa tunasema BHAS! CCM haina uwezo wala uhalali wa kutuwekea watu wa kushika dhamana hizi kubwa!
Wagombea urais na makamu kwa miaka ya nyuma walishachujwa na TISS wote wale potential mapema na si kupendekezwa hapohapo na kutangazwa - isipokuwa 2015 CCM walipanic na kupendekeza na kutangaza kwa kukurupuka na hadi leo tunaendelea kuteseka na huu uamuzi
Huyu Ndejembi wanataka wamkimbize aapishwe baada ya Kamati Kuu kuhongwa/kutishwa kumfukuza Nchimbi na wameleta tu jina - hii hatuwezi kukalia kimya
Huyu Deo ana makandokando lakini hili la kubadili tarehe ya kuzaliwa na Jina la kati as recently as 2018 tunahitaji upewe maelezo - na ushahidi tunao mnajua based on nilichoandika!
Kutokana na Nchimbi kujiuzulu - Samia Suluhu naye ajiuzulu na serikali YOTE!
Msituletee huyu kijana ambaye anajulikana kuwa na uraia pacha hadi ana nyumba Uingereza na hana vigezo! Hapo bado kuna ufisadi wake anaozungumzia @mangekimambi
Ni wajibu wa wazalendo wote ndani ya mfumo na CCM kuhakikisha tunaokoa nchi!
Taarifa zipo nyingi mengine tutaleta zaidi ila hii ya tarehe ya kuzaliwa kudanganya tayari ni kosa kisheria hasa kwa kiongozi!
MWANAMTANDAO na mgawa hela za kufadhili wanamtandao na kuweka wabunge kwenye uchaguzi wa 2025 leo anataka taifa liungane! 😳
UNAFIKI NI KITU HATUTAKI....📌
Utawadanganya wapumbavu wenzako ambao kusoma hawajui na hawataki kusoma!
Wewe ni binadamu mshenzi sana kuwahi kuzaliwa duniani! No wonder Mungu aliona bora nguruwe na mbwa wazae watoto lakini siyo wewe 🚮
TUNAYAJUA MAUMIVU YENU.. VUMILIENI TU HAKUNA JINSI😁
‼️UASILI WA DEO NDEJEMBI KUMBE UNA UZANZIBARI‼️
Kumbe Mama yake Ndejembi ni Mpemba anayeishi London?
Eh watu mna siri!
Alafu TISS bana mnamkubalia kimama amteue alafu mnakuja kutulalamikia pembeni
Sasa wamemwaga data ila mambo kadhaa muhimu:
👉🏽Deo Ndejembi ni mjukuu wa Mzee Ndejembi ila alilelewa na Mzee kwani mama yake Deo ambaye ni mpemba alimtelekeza na baba yake alifariki
👉🏽Deo alikuwa mkatoliki ila alisilimu huko UK na hadi wanadai alipoungana na mama yake alichukua uraia wa Uingereza
👉🏽 Hajatimiza hata miaka 40 ila wamefoji awe 43 aweze kukidhi kikatiba umri
Mengine tutayafanyia kazi
Mambo ni mengi ila kweli Deo ana damu ya kizanzibari kwa upande wa Mama yake na wazanzibari wanajua fika sema wametukalia kimya tena! Watanganyika nimewavulia kofia mlimtambua kuwa ana uzanzibari mi sikuwaamini 🙌🏽
Eniwei #TutaelewanaTu
Hata hili sifa tunakurudishia wewe Mungu!.. Hakuna Mungu zaidi ya Mungu wewe wa Isaka na Yakobo..Sifa na utukufu ni za kwako wewe..
Hujawahi kuiacha Tanzania.! Mkono wako usituondokee 🙏🏽🙏🏽
Tunakushukuru kwa kusikia maombi yetu na bado tunakaa madhabahuni mpaka mtoto wako huyu akae kwenye kiti na kutumikia kusufi lako📌
CCM NAMBARI WANI 👍
URAIS NI TAASISI YENYE NGUVU SANA...NI VILE WATU HAWAJUI NA HAWATAKI KUJUA.
NADHANI NI KWA SABABU za utoto na ujinga tu watu wanaichukulia taasisi ya urais kiwepesi wepesi sana na wanashindwa kujua nguvu iliyo nayo kwenye mamlaka na maamuzi ya nchi.
TAASISI ya urais ni taasisi yenye nguvu sana na siyo kitu cha kuchezea chezea kama wengi wanavyodhani na siyo taasisi ya kuleta nayo mzaha hata kidogo.
RAIS wa nchi huwa hajiweki kwenye kile kiti anawekwa kwa mujibu wa katiba na kama hamna taarifa ni kuwa viapo vya vyombo vya usalama kwake ni kulinda taasisi ya urais na mumtii Rais na mamlaka yake..
SASA sijui watu huwa wanagengeukaje wanapoanza kudhani Rais ni mtu wanaweza kumchezea na kumjaribu na mambo ya kitotokitoto tu na siasa za shule ya msingi wakidhani ni kitu cha kuyumbishwa.
TAASISI ya urais inapaswa kuheshimika sana na kulindwa kwa nguvu zote ndiyo maana siku zote mamlaka ya Rais ni makubwa na hayawezi kuchezewa.
NAWAKUMBUSHA haya kwa kuwa waliokuwa wanafuatilia nikutano ya CCM kule Zanzabar mnajua kilichokuwa kinaendelea na kilichotokea na hiyo sasa itoshe kuwaonyesha kuwa RAIS ni mamlaka kubwa na yenye nguvu sana.. Ndiyo maana wenye kujua hilo huwa wanaisogelea mamlaka hiyo kwa uangalifu sana na adabu sana kwa kuwa inaogofya.
KUNA watu wanafikiri Rais anaweza kutikishwa na kupigia magoti watu fulani fulani. Hicho kitu hakipo na hakiwezikutokea na kama kuna matu anadanganya watu kuwa anaweza kumtikisa Rais na mamlaka yake basi atakuwa na shida kubwa sana ya uelewa wa mambo na kama anaelewa basi hayuko sawa kabisa jinsi anavyotafakari na kufikiri mambo yake..
TUKIACHANA na mambo hayo jana Rais amezungumzia suala la katiba mpya. Na Rais ameweka wazi jinsi ambavyo Tanzania itaendenda kupata katiba mpya na amekutana na vyama 18 vya siasa vyenye nia ya dhati na ya kweli ya kufanya maridhiano na kusonga mbele kwenye mchakato wa kuboresha katiba..
RAIS amesisitiza suala la maboresho ya katiba. Narudia hii sentensi kwa wingi sana ni kuboresha katiba tena kwa kuzingatia sheria na kwa kujibu wa sheria. Maana yake ni kuwa mabadiliko na maboresho yatazingatia sheria na yatafanywa kwa mujibu wa sheria.
SASA kama kuna watu wanafikiri serikali itafanya maboresho ya katiba kwa mashinikizo na kelele za majukwaani kama wanavyofanya walevi wa CHADEMA basi watakuwa wamepotea..
JANA tumeona vyama 18 vimekutana lakini wana UFIPA wamesusa kama ilivyo kawaida yao na tabia yao kususa mambo mengi tu yanayofanywa na serikali. Walisusa uchaguzi,walisusa kutoa maoni kwenye tume ya kuboresha katiba ya awali na jana wamesusa.
TUNARUDIA kuwaaambia kuwa Tanzania itaasonga mbele na haitategemea uwepo wa wahuni wa CHADEMA kwenye mambo ya maana ya nchi hii..
NARUDIA TENA ... Urais ni kitu kikubwa sana na siyo taasisi ya kuichezea chezea ..Matokeo yake huwa ni mbaya sana kwenye safari za watu wengi sana kimaisha na kisiasa na mengineyo..
ASANTENI..🙏
#KigogoMediaUpdates
Nimeshuka toka madhabahuni kuja kuwaambia haya ! Nyie mnajiita wanamtandao mna vichwa vigumu sana kuelewa nyakati na mambo yalivyo;
🚨URAIS SIYO KITU CHA KUCHEZEA NA MAMLAKA YA RAIS HAYAJARIBIWI HATA KIDOGO..
🚨WANAMTANDAO NA MUASISI WENU NA MFADHILI WENU HUWA HAMJIFUNZI NA KILA SIKU MNAFANYA KOSA LILELILE ..
Ngoja turudi madhabahuni kuendelea kuombea taifa hili.. Maana mbele kuna mwanga na neema kuu ..📌
#KigogoMediaUpdates
URAIS NI TAASISI YENYE NGUVU SANA...NI VILE WATU HAWAJUI NA HAWATAKI KUJUA.
NADHANI NI KWA SABABU za utoto na ujinga tu watu wanaichukulia taasisi ya urais kiwepesi wepesi sana na wanashindwa kujua nguvu iliyo nayo kwenye mamlaka na maamuzi ya nchi.
TAASISI ya urais ni taasisi yenye nguvu sana na siyo kitu cha kuchezea chezea kama wengi wanavyodhani na siyo taasisi ya kuleta nayo mzaha hata kidogo.
RAIS wa nchi huwa hajiweki kwenye kile kiti anawekwa kwa mujibu wa katiba na kama hamna taarifa ni kuwa viapo vya vyombo vya usalama kwake ni kulinda taasisi ya urais na mumtii Rais na mamlaka yake..
SASA sijui watu huwa wanagengeukaje wanapoanza kudhani Rais ni mtu wanaweza kumchezea na kumjaribu na mambo ya kitotokitoto tu na siasa za shule ya msingi wakidhani ni kitu cha kuyumbishwa.
TAASISI ya urais inapaswa kuheshimika sana na kulindwa kwa nguvu zote ndiyo maana siku zote mamlaka ya Rais ni makubwa na hayawezi kuchezewa.
NAWAKUMBUSHA haya kwa kuwa waliokuwa wanafuatilia nikutano ya CCM kule Zanzabar mnajua kilichokuwa kinaendelea na kilichotokea na hiyo sasa itoshe kuwaonyesha kuwa RAIS ni mamlaka kubwa na yenye nguvu sana.. Ndiyo maana wenye kujua hilo huwa wanaisogelea mamlaka hiyo kwa uangalifu sana na adabu sana kwa kuwa inaogofya.
KUNA watu wanafikiri Rais anaweza kutikishwa na kupigia magoti watu fulani fulani. Hicho kitu hakipo na hakiwezikutokea na kama kuna matu anadanganya watu kuwa anaweza kumtikisa Rais na mamlaka yake basi atakuwa na shida kubwa sana ya uelewa wa mambo na kama anaelewa basi hayuko sawa kabisa jinsi anavyotafakari na kufikiri mambo yake..
TUKIACHANA na mambo hayo jana Rais amezungumzia suala la katiba mpya. Na Rais ameweka wazi jinsi ambavyo Tanzania itaendenda kupata katiba mpya na amekutana na vyama 18 vya siasa vyenye nia ya dhati na ya kweli ya kufanya maridhiano na kusonga mbele kwenye mchakato wa kuboresha katiba..
RAIS amesisitiza suala la maboresho ya katiba. Narudia hii sentensi kwa wingi sana ni kuboresha katiba tena kwa kuzingatia sheria na kwa kujibu wa sheria. Maana yake ni kuwa mabadiliko na maboresho yatazingatia sheria na yatafanywa kwa mujibu wa sheria.
SASA kama kuna watu wanafikiri serikali itafanya maboresho ya katiba kwa mashinikizo na kelele za majukwaani kama wanavyofanya walevi wa CHADEMA basi watakuwa wamepotea..
JANA tumeona vyama 18 vimekutana lakini wana UFIPA wamesusa kama ilivyo kawaida yao na tabia yao kususa mambo mengi tu yanayofanywa na serikali. Walisusa uchaguzi,walisusa kutoa maoni kwenye tume ya kuboresha katiba ya awali na jana wamesusa.
TUNARUDIA kuwaaambia kuwa Tanzania itaasonga mbele na haitategemea uwepo wa wahuni wa CHADEMA kwenye mambo ya maana ya nchi hii..
NARUDIA TENA ... Urais ni kitu kikubwa sana na siyo taasisi ya kuichezea chezea ..Matokeo yake huwa ni mbaya sana kwenye safari za watu wengi sana kimaisha na kisiasa na mengineyo..
ASANTENI..🙏
#KigogoMediaUpdates
Ombeeni hii nchi sana ! Ombeeni sana Rais wetu 🙏🏽🙏🏽
Mungu uliye hai wewe utabakia kuwa Mungu na hakuna Mungu zaidi yako!...
Nchi hii ni ya kwako na mkono wako usije kuondoka kwenye uso wa nchi hii
Narudi tena madhabahuni 🙏🏽🙏🏽
🚨KAMA UNA DINI NA UNAAMINI KATIKA YESU KRISTO ALIYE HAI BASI TUNAKUSIHI NA KUKUOMBA...👇🏾
💡Ombea sana hii nchi inaitwa Tanzania asubuhi mchana na jioni bila kuchoka na kukoma kwenye zamu yako ya kufanya hivyo..
💡Tanzania inakwenda kupita kwenye mtihani mzito,sehemu ngumu sana na mtikisiko mkubwa sana utatokea katika historia yake tangia kuumbwa kwa ulimwengu huu.
💡Ndani ya miezi 2-3 kuanzia sasa itakuwa migumu sana kwa taifa hili na jambo hili linalokuja lisipopita salama basi hakutakuwa na Tanzania tena.
KWA KUJUA haya sisi wenye imani katika Yesu Kristo aliye hai acha twende mlimani na madhabahuni pa BWANA YESU kwa ajili kumlilia MUNGU na kumuomba asije kutuacha maana gharama yake ni kubwa sana..
NYIE ENDELEENI KUNYWA POMBE NA KULA KULA VITUMBUA ,SISI ACHA TUTAWAOMBEE TOBA KWA MUNGU JUU YA NCHI HII NA UWEPO WAKE... TUTARUDI PALE BWANA WETU YESU KRISTO AKITUSEMESHA NA NENO LAKE KUTIMIA..🙏
KAENI KWA AMANI...NA BWANA AWATAZAME KWA USO WAKE WA FADHILI NA AWAHURUMIE SANA MAANA HAMSIKII..📌
#KigogoMediaUpdates
Hakuna MUNGU kama MUNGU wa Isaka na Yakobo..
Sifa na utukufu ni vya kwako wewe uketiye mahali pa juu sana ,juu ya falme zote na mamlaka zote na kila jina liitwalo jina katika ulimwengu huu na ule ujao..
SIKU YA JANA TAREHE 13/08/2026 ,MIMI NIMEKUONA MUNGU KWA MATENDO YAKO MAKUU SANA NA MAGUVU YAKO YANAYOOGOFYA SANA..
Utabakia kuitwa MUNGU..🙏
TULIWAPA ANGALIZO MUDA SANA MKAWA KICHWA NGUMU NA WAJUAJI 📌
TULIWAPA angalizo muda sana kuhusu umuhimu na nguvu iko kwenye taasisi ya Urais na tukawasihi sana kuwa msimuangalie nani amekaa kwenye kiti cha urais bali tazama neno lenyewe urais.
HAMKUWA wasikivu mkawa mnaendeshwa na mihemko na makasiriko mkidhani taasisi ya urais ni kitu chepesi chepesi tu na kinaweza kuchezewa na kudharauliwa
WENGINE mkaanza kuleta kejeli hapa kuwa oooh Katoliki ndiyo kila kitu wanaamua nani awe nani nchi hii ba blah blha zingine za kutosha tu.. SHIDA yenu ni kuwa mlikuwa mnatazama urais kama mtu na siyo taaisis.
HAYA majibu ya ukubwa na umuhimu wa taasisi ya urais haya hapa na mmeambiwa kwa kirefu nani alitaka kikao kile na walikwenda kufanya nini huko Ikulu.
ACHENI kupumbazwa na kudanganywa na maneno ya wanaharakati na wapinzani waliochanganyikiwa ambao hawana agenda inayoeleweka zaidi ya kulalamika na kulaumu kila kitu..
TEC na Kitima bado mnataka kushindana na taasisi ya Urais ? Bado mnataka kufanya harakati kwenye mambo ya dini yenu? Bado mnataka kuwa mouthpiece ya CHADEMA na wahalifu wao walioko gerezani na mikesi ya ugaidi na uhaini?
NAWAPA ANGALIZO tu kuwa huyu anayetoa hili tamko hapa ni Bwana Kitima kinara wa kuitukana serikali na dola na mtu aliyetumia TEC kwa muda mrefu sana kuisambulia serikali na mtu aliyefanya mambo ya hovyo sana dhidi ya Rais kwenye msiba wa Kadinali Pengo.
KUWENI NA HESHIMA NA MAMLAKA MTAFIKA MBALI 📌
#KigogoMediaUpdates
🚨 #UPDATES_KESI_YA_UHAINI🚨
LISSU SLAUGHTERS SECRET STATE WITNESS!⚖️
Lissu just obliterated the prosecution’s secret witness in court today!
The witness was forced to admit:
He was personally present at the meeting
The talk was only about “No Reforms, No Election”
Lisu discussing elections is NOT a crime.
He never brought the memory evidence he claimed.
He never once said Lissu’s words were criminal.
Prosecution: “We have no re-examination.”
(They got destroyed and ran!)
Case adjourned until tomorrow 9:00 AM.
Lissu walked out flashing the
“I just slaughtered them” throat-cut gesture –courtroom erupted in laughter!