Najua mnajua kuwa mtashindwa asubuhi mapema #Zanzibar, lakini nimshauri Mwenyekiti wa CCM @MagufuliJP kama anataka chama chake kufikia angalau 35% ya kura Zanzibar basi jambo la kwanza ambadilishe Naibu Katibu Mkuu wa Chama chake (Zanzibar). Viatu vinampwaya sana Dk. Juma Mabodi.