@privaldinho@TZSportPesa Ila Sisi mashabiki wa Simba Sasa imefika hatua tuwashawishi viongozi Wetu Huyu jamaa apate Hata posho Kwa Kazi ya kuitangaza Simba kuliko utopolo yake
@ndembo255 Sasa kama Simba Kwa mkapa anapigwa Sanaa Why utupolo mkaze mishipa ya Shingo kurahia Simba kwenda New Amani? Kama Hapo tunafugwa ombeni tucheze Hapo
@privaldinho@CRDBBankPlc@YoungAfricansSC Mm ni Simba Ila Sasa Hiyo ndio kazi Yako Hapo Sasa unafanya Kazi! Ila ww kutwaa Simba Simba! Unawakosea Wana yanga wanataka kujua habari zao kutoka Kwako coz wanakulipa!
@Dr_DGwajima Mama unafanya kazi nzuriiii Sanaa! Kama binadamu huwezi kila mtu ukamridhisha Ila Hata Kwa hayo unafanya MUNGU akubariki Sanaaa! Ngumu kupata Waziri wa hivi Kwa Africa! Good job mazaaa