Jamaa wanaleta haya Madude kutoka South delivery ni Entebbe kama kuna mtu anayataka nimpe namba yao Muongee (Karahal Goat ) Ni mazuri kwa ukame
Labda mbegu tutanunua kwenu
Asilimia 99 ya wanawake wa kibongo wana maex. Msichana wa kawaida wa kibongo hakosi maex 10 na analala na maex 6 kati yao, sema siwaonei huruma wanaume maana wameoa malaya
Kiukweli ni umasikini tu, lakini duniani kote pikipiki haijawahi kuwa usafiri wa biashara,Unaweza Pinga unavopinga ila huu ni uhalisia kabisa๐
Dogo kautana na fuso head to head hapa goba roho imeacha mwili.
Aliyekuwa mdhibiti na mkaguzi Mkuu wa hesabu za serikali Prof. Mussa Juma Assad amesema uzuri wa bunge lolote lile duniani ni kuwa na mchanganyiko wa wabunge kutoka Chama tawala na vyama vya upinzani na ambao watakuwa wasomaji wazuri wa taarifa zinazokwenda Bungeni sambamba na kuzifanyia utafiti, akilitaja Bunge la Hayati Samweli Sitta kama Bunge bora zaidi kuwahi kutokea Nchini.
"Spika pia sio kuibeba serikali, ni kuiweka katika mstari ili Wabunge watoe maoni yao na waziri ajibu na hapa ndipo utakapoliona Bunge kuwa limekaa sawa sawa. Kwa mimi binafsi the bunge bora katika mabunge haya yote lilikuwa ni la Mzee Samwel Sitta, yeye mwenyewe kwa utendaji wake alihudumu serikalini na CCM na alikuwa na heshima nzuri sana katika utendaji wake na kikubwa zaidi alikuwa na muamala mzuri na upinzani na upinzani ule si tu wapinzani lakini ni watu ambao wana akili, unaweza kukaa nao chini mkazungumza na kuna mambo mnaweza mkayajenga vizuri. Samwel Sitta alikuwa ni mtu wa mizania (asiyebagua), alilimudu Bunge vizuri sana na pale alipokuwa anatakiwa kuikandamiza serikali kwamba lipo jambo haliendi sawa alikuwa hana namna, alikuwa anasema na kuelekeza"
Prof. Assad amebainisha hayo leo Juni 24, 2026 wakati akihojiwa kwenye kipindi cha M/S Podcast kupitia mtandao wa Youtube, akisema kwasasa kumekuwa na Maspika ambao wana wabunge wa chama tawala kwa zaidi ya asilimia 90, akibainisha kuwa wabunge hao wanaonekana hawafanyi kazi kabisa.
"Unajua kauli kwamba ooh jimboni kwangu kuna barabara, kuna hiki na lile, haya si mazungumzo ya Bunge, mazungumzo ya bunge ni utekelezaji wa sera za serikali, lakini hili la kueleza kila mtu jambo la Jimboni kwake, ni mazungumzo rahisi sana na kila Mbunge anaweza kufanya hivyo." Amesema Prof. Assad.
@MarekaMalili Mdogo wangu... Kujamba ni rahisi mpaka pale unapopatwa na tumbo la kuhara.... Hawawezi kamwe kuelewa sababu sio wao wanaopita kwenye landmine ya uanaume...