@tanescoyetutz Asante kitengo cha emergency Kwa kutatua tatizo letu la umeme Kwa kutukatia umeme kabisa na kutulaza Giza na kutukujia waya na kutuwekea chini kwahiyo tusiwe na umeme kabisa . Nyasubi kahama Barabara ya mustapha
Hawa ndio washindi wa shindano la Stream & Win wimbo wa Enkay Ogboruche 'Mmuo Nso Billie'. Washindi wote watajulishwa namna ya kuchukua zawadi zao.
#HomeOfMusic
Ndugu zangu katika Imani ( Muslims )
Msiwe na wasi wala mashaka katika Kutumia Application ya @BoomplayMusicTZ kwani Hata ukiwa wewe ni muislam Safi basi unaweza kutumia Application ya Boomplay kusikiliza Qaswida na Quran Tukufu
Download Leo App yako ya Boomplay
🚨WASHINDI🚨
Hawa ndio washindi wa Challenge ya kustream ya Dadahoodtz #TheOrangeAlbum
Boomplay itawasiliana na mshindi ili waweze kupata zawadi zao .
#HomeOfMusic
Promotion ya uhakika kwenye KAZI ina matokeo chanya kabisa kwenye number za public
Hongera kwako @Rayvanny
Ukubwa wako upo Kwa mashabiki na KAZI zako kwenye Digital platforms
👏👏👏👏👏
Cc @BoomplayMusicTZ
#NishushieMkude Inapatikana YouTube, Audiomack na Boomplay
Gusa link Kwa Bio yetu Hapo Juu Kisha Support KAZI zetu Wana #KSMD
Vijana wa manisipaa ya Kahama
https://t.co/aZOiJAOk1J
Reposted from @ksmdtz https://t.co/40go9C1DS6