Saudia inapoteza mamilioni kufadhili mamluki wa kigeni huko Galguduud. Je, fedha hizi haziwezi kusaidia Somalia badala ya kutuma vijana 5,107 kama chambo cha vita nchini Sudan? Huu ni uhalifu dhidi ya ubinadamu!
#Sudan#Somalia
Hivi umeshawahi kukutana na mtu ulisha futa namba yake kumbe na yeye alifuta,
Halafu anakuuliza mbona hunitafuti siku hizi hivi apo unatakiwa umjibu vipi ili Upate Namba Yake..?
Enzi zetu miaka ya 1980 huko ,wazazi walikua wakienda kulala wanawasha redio inaongea hadi asubuhi๐๐๐nilikua sielewi maana yake ni nini lakini sasa ๐คฃau basi jamani anaejua kukopa hela halotel aniambie ๐ฅฑ
Ufadhili wa Saudi Arabia katika kambi za Guri El mkoani Galgaduud unahusisha mamluki wa kigeni wanaofundisha wanajeshi 5,107 wa Somalia. Lengo kuu ni kuwahamishia Sudan ili kuunga mkono jeshi la Sudan katika vita vinavyoangamiza raia.
#PortSudan#Somalia
Wakuu mkishaona Mwanamke anasema "Nataka Mwanaume Sahihi kwenye Maisha yangu " Basi ujue Hiyo Sahihi Ni PESA msije Mkachanganya Mambo Anko zangu ๐๐ค
Tarehe 7.7.2026 ilikua moja ya siku ngumu kwangu nilimpoteza baba yangu mzazi namshukuru Mungu leo tarehe 11.7.2026 nmefanikiwa kumpumzisha mzee wangu salama๐
#RIPfaza๐