@eastafricatv Mi nimefanya sana kazi kwa mchina awa jamaa ukiwa na asira za karibu kweli lazima utafikia pabaya
Sifa ya kwanza ya mchina hana ukarimu hata kidogo
Afu jamaa kwenye swala la masilahi wajitazamawao tu
@MadamVero61349@SkydiverTz@Mastown_ Kwa kila siku alfu sita kwa mtazamo wangu naona alfu sita madame ni ndogo kama utakua unanunua mahitaji kidogo kidogo au tuseme kwa kila siku ila kama utakua inajitahidi kununua kwa jumla pengine iyo alfu sita ikawa nyingi sana
@TBoundBuses Kwamimi naona binti analia na jamaa kaenda ku m beleza either kutaka kujua nini kimemsibu au kumfariji pengine kuna changamoto imemkumba
Wacheni mawazo ya kwenye korodani mda wote