Back to TPL ... 8 matches in 19 days , travel and transportation not included ( Tanga , Bukoba , Mwanza , Musoma , Morogoro , Mbeya ) : surrealistic schedule ! What about players health ??
Haijalishi nia yako ni nzuri kwa kiasi gani, dunia itakuhukumu kwa MATENDO yako...
Na haijalishi uwasilishaji wako ni kamilifu kwa kiasi gani, Mungu atakuhukumu kwa NIA yako...
Habari ya asubuhi 🙏🏽