MAREKANI YAPANGA KUWATAJA VIONGOZI WA TANZANIA WANAOTUHUMIWA KUKANDAMIZA DEMOKRASIA
SEHEMU YA 5: RIPOTI KUHUSU BAADHI YA WATU WALIO KWENYE NAFASI ZA UONGOZI TANZANIA
Ndani ya siku zisizozidi 180 tangu sheria hii kuanza kutumika, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani atawasilisha ripoti kwa Kamati husika za Bunge la Marekani ikijumuisha orodha ya watu wa kigeni ambao:
(1)
Wanashikilia nafasi za juu serikalini Tanzania, ndani ya uongozi wa CCM, Jeshi la Polisi Tanzania, JWTZ au Idara ya Usalama wa Taifa
Na (2)
Wanahusika moja kwa moja au kwa namna yoyote katika:
(A) Kuagiza, kusimamia au kuelekeza utekaji, kupotezwa kwa watu, au kuwekwa kizuizini kiholela kwa wapinzani wa kisiasa, waandishi wa habari au wanaharakati wa kiraia
(B) Unyanyasaji, vitisho, kukamatwa au matumizi ya nguvu dhidi ya waandishi wa habari, taasisi za habari au wanaharakati kwa lengo la kuzima sauti tofauti au kuficha taarifa za ukiukwaji wa haki za binadamu
(C) Kufungia au kudhibiti vyombo vya habari, internet au uhuru wa kujieleza ili kuficha ukiukwaji wa haki za binadamu au kuzuia usambazaji wa taarifa za kuaminika
(D) Ukiukwaji mkubwa wa uhuru wa dini, ikiwemo mateso dhidi ya watu au makundi kwa sababu ya dini zao, au vitendo vya ubaguzi, vitisho na ukandamizaji dhidi ya jamii za kidini
(E) Matumizi ya mbinu za ukandamizaji wa kimataifa dhidi ya raia wa Tanzania, watu wa diaspora au raia wa kigeni ndani na nje ya nchi
(F) Mauaji ya kiholela, mateso au ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu zinazotambuliwa kimataifa
(G) Au vitendo vingine vinavyokiuka haki za binadamu na uhuru wa kiraia unaolindwa na Katiba ya Tanzania.
@Ireneigora Hapo ni kunena kwa lugha hadi upate rest miyoni! Hii ni kama umejazwa Roho mtakatifu, ni muhimu sana kupita maelezo, ile peace inakujaga na wazo la ufumbuzi wa tatizo husika. Tamani sana kujazwa Roho mtakatifu
@SwahiliBible Marginal happiness from material gains follows a multi modal distribution which is very complex but it is proven to follow an upward stead trend when the material are gained within the Godly courts!
@Chahali Huyu mumama ana chaguo kati ya ku surrender au kuwa surrendred in my view of what might be going on behind scenes, its likely Gwaj is being prepared for take over! I'm not sure whether I'm not certain about this.
@ayubu_madenge Watumishi wa Mungu wanawajibika kwa aliyewaita na kuwa empower kuwa watumishi wake, hiyo ni principle aliyoweka Mungu mwenyewe, he knows how, when and why to correct them, Mungu ana sababu zake kuamua jambo hilo liwe namna hiyo!
@bbcswahili@Bbcswahili mna tatizo gani mbona kama mnahangaika sana kama wale aakari waliombiwa wawambie watu mwili wa Yesu umeibiwa badala ya ukweli kuwa amefufuka? You look ignorant and less objective
@lusomi24 Binafsi sijafanya utafiti mzuri, ila walalamikaji wakubwa wenye fursa ya ku access taarifa za ndani wanadai kuna namna player at high end including gavo wana play mithiri ya brokers na kupelek bei ndogo sana kwa wakulima kuipitia vyama vya msingi