@MethuMussa Kusaga ana ugomvi gani na Almas...Infact huez fungua media kubwa bila kushirikiana na any Mogul kwenye hiyo business...kitu kingne watanzania tubadilike Hakuna biashara utaifanya peke ako utoboe
@kimolorama8@DullahTheking2 mbosso ataenda wapi na wewe,Alipofika Mbosso ndio final ya uwezo wake hana pakwenda zaidi ya hapo...Ni miaka zaidi ya mitano career yake imeganda hapo hapo..Haendi mbele wala arudi nyuma
@prossoff@TillahBlessed ume tweet nonsense unataka kufananisha mavazi yaNews Anchor na Entertainment personalities alafu hii ni 2023 bado mmekazania mavazi tu,Utadhani ndio mara ya kwanza mna yaona...Ilimradi tu Agenda
@VanySimba@DullahTheking2 My concern ni kua WCB haina uwezo wa kumtengeneza msanii kua na brand kubwa nje ya East Africa..Wanaweza tengeneza hits mbili tatu zikavuka border ila bado as an artist unakuta hana brand kubwa Africa....Zuchu was their best investment but they ruined her..
@VanySimba@DullahTheking2 Kwann niwatoe kwenye lawama wakati wao ndio wanashindwa kuwa brand wasanii wao...Zuchu hakutakiwa kua hapa alipo ila boss waWCB ndio kamuweka busy na Mapenzi.
@VanySimba@DullahTheking2 Huja ni prove wrong...Coz nitajiemara ya mwisho Zuchu kutoa hitsong kubwa Africa zaidi ya Sukari,Rayvanny mpaka leo Tetema ndio analia nayo..Mind u hizo ngoma zina numbers za kawaida mno ukifananisha ngoma zinazotoka tu saiv na wasanii wa kawaida
@4_savage_tz@DullahTheking2 TZ hakuna label zaidi ya WCB lakini hiyo hai maanish mapungufu yao yasisemwe..Na ndio maana nikasema WCB inaweza kumfanya msanii kua mkubwa East Africa ila sio Africa...Na ukitaka sabab nitakupa...