Fahari ya mbingu sio kuona ongezeko la makanisa na misikiti Tena ya ghorofa, madhehebu tele, waumini maelfu na sadaka mabilioni huku duniani
Fahari kuu mbinguni ni kuona dunia ikitubu na kusadiki Imani kwa Mungu mmoja alieziumba mbingu na ardhi.
@EsarisaS @P_issac57@allymshana_
@SuluhuSamia KWASASA NI CHAMA TAWALA PEKEE KINACHOWEZA KUWEKA SAWA HAYA YANAYOLIKUMBA TAIFA WALA TUSICHOCHEE CHUKI MAANA HAKUNA ANAEFURAHIA UKATILI WA AINA YOYOTE.
@Daktariwayanga Kama hao REDBRIGADE na Chadema wangekuwa ndio wanafanya hayo basi usalama wa taifa wangeshatoa neno na kuwadhibiti serikali haishindwi kutatua changamoto hii....lakn hii ni mchezo wa muuaji kuchunguza kesi yake ya mauaji.
Kwahiyo hili ni tatizo la serikali ndani ya serikali.
@Benjaminkamo Bora m- pesa maana dah! Hasa Hawa crdb wanazingua hata kwenye kujamilisha miamala kwenye check zinazoenda benk zingine ..... Yaani wanakuforce ufungue akaunti kwakukubania huduma ili uone ni muhimu kuwa na akaunt kwao badala yakufanya biashara