Hili ni tambala jipya bora la kivita limetoka Leo,meliangalia ni hatari balaaa,huu mwaka kila movie ni kali mnoโkwenye kipengere cha movie kali ya mwaka 2023 sijui itakuwaje ๐ฅฑ๐ฅ๐
Wauza simu makumbusho mafreemason, ana duka kubwa ndani lina cover, protector, charger na Visimu viwili afu asubuh anakuja kufungua duka na Crown athletes...๐๐๐