Had lunch at Mamboz masaki yesterday and paid 55,000 TZS immediately got 2,750 TZS cash back in my @AzamPesa wallet. If you are eating out during Ramadan go to Mamboz and pay with Azampesa its a great deal. Any other biz that wants a similar promotion, DM me or contact @AzamPesa
Ruti za mabasi yatakayowabeba wateja wetu kuja AzamPesa siku ya Ijumaa ni hii hapa:
1. Temeke Mwisho-Ilala-Magomeni-Biafra-AzamPesa
2. Mbezi luis-Kimara-Ubungo-Magomeni-Biafra-AzamPesa
3. Bunju-Morocco-AzamPesa
Gari zitaanza safari saa 4 asubuhi. Tunapokea majina na namba DM
Tarehe 11 mwezi huu(Octoba), kwa mara ya kwanza tunawakaribisha wote nyumbani kwetu AZAMPESA Masaki.
Tutakuwa na mabasi. Tutatangaza vituo humu ili tuwapitie ndugu zetu.
Mje muone nyumbani kwetu kulivyo. Pengine mtamuona na admin🤣
#JiokoeNaAzamPesa#KaribuAzamPesa