"Tumefuta uchaguzi wa Umoja wa Vijana (UVCCM) mkoa wa Simiyu, kwa sababu ya kuwepo kwa tuhuma za Rushwa kwa baadhi ya wagombea, tumeshatuma timu huko leo siku ya tatu inafanya uchunguzi wa kina na kutuletea ripoti." Ndg. Daniel Chongolo Katibu Mkuu wa CCM