Hakuna Mtu aliyechelewa maisha wala hakuna Mtu aliyewahi maisha, kila mmoja ana nafasi ya kuwa bora, Cha msingi ni kupeana heshima na kupeana moyo ikiwezekana kushikana mkono.
Kwenye makuzi yangu sijawahi kuona mtu
akitengwa sababu hajachangia pesa ya dawa ya mtu aliyepo Hospital
Lakini nimewahi kuona watu wengi wakitengwa kwasababu hawakuhudhuria msibani
Hii Inamaanisha kwamba si lazima kuokoa maisha,lakini ni FAHARI kusindikiza Maisha Yaliyopotea
Zile kauli za yule Pastor Mwanamke Now ndio zinanifanya nielewe kwanini zamani hawa Wazee wetu walikuwa Hawapeleki Shule Watoto wa Kike...,kitu Hajui Degree zake Nne haziwezi Mfanya kuwa Mwanaume.😡🚮