Mko funny sana huku nje.... Kwanza ata naskia kesho MUST GO anakuja huku world class uni for the big day. Niko kwa mat and this man ako hapa kando amefungiwa nyumba.. he's so mad but one statement imenichekesha ni "ata landlord hana makosa hapa, shida tu ni Ruto"
Eii WANTAM!!!