Mtu asikudanganye ati ukulima ni rahisi, hakuna kitu rahisi about ukulima, kuna time nimejaribu kulima Tomatoes, niliambiwa hapo nikiuza canter moja ntatoka hapo na pesa enough za kushika VW GTI i wanted, long story short mvua ilinyeshanga mob ikaharibu na io shamba mzima ilinipea ndoo tatu za nyanya. Ukikulanga nyanya heshimu hizo vitu bana sio rahisi.
Started learning Spring Security today. 🔐
Covered authentication, authorization, Security Filter Chain, and the basics of JWT.
One step closer to building secure backend applications. 🚀
#Java#SpringBoot#SpringSecurity#JWT#Backend#100DaysOfCode
@Mpire444 This life is very difficult when you don't have money but at least find balance, take some days off to appreciate the far you have come from else you will be really depressed.
Daily village life itakuonyesha how people are jealous of other people achievements, and the best thing ni kuishi tu life yako, watu salimianga tu kwa ubali na sio kila wakati
You have to think large and be creative to solve big problems that scare the crap out of most people.People are going to try to steal from you and destroy you just for the fun of it. You have to stand up to them,fight back and kick their ass.
Kuna diploma holders wanalipwa pesa nyingi sana kushinda degree holders in the same work environment na hakuna kitu mnaeza fanya. Na at the end of the day mfuko ndo inamatter.
Stop putting 2+ messages for a good morning for impressions. You will lose by gaining. Mutuals will not interact with all your posts. Your profile will automatically becoming tiresome to them repeating one thought for 4 hours.
Sisi watu wa kufungia feelings instead of expressing them, hiyo anger yote hubuild up into resentment and that's why hatunanga shida kuachana na anyone
Enyewe mapenzi ni ngumu walai,nilienda kumgeuza akaniambia yeye si bibi yangu ati naeza mgeuza nilitaka. Ata kama ni wewe unaezamfanyia nini? Ni mi siwezi kaa na mtu ka huyu walai.