Viongozi wanapopewa dhamana ya kusimamia rasilimali za wananchi, wanakuwa walinzi, si wamiliki.
Kila uamuzi kuhusu ardhi ya umma unapaswa kuwa wa wazi, wa kisheria na wenye manufaa kwa wananchi wote.
#RaiaMakini@policy_F@InstituteWajibu
#AD
Wakamaria hatupati Odds 2 hapa nitie liten vunjabei Bet linazagaa zagaa 🤣🤣
Hujachelewa na wewe kujiunga na Familia ya ushindi Place Bet yako sasa https://t.co/fb1hrk5k54 Pesa nje nje
#TunaondokaNaVunjaBeiBet
“…ni ajabu kwa vyombo Vya dola kujipa mamlaka makubwa; haviuogopi umma wala mimi…vinapanga uvamizi wa kijeshi bila mimi Rais kuwa na taarifa kamili”! alilalamika Rais Kennedy muda mchache kabla ya kumfukuza kazi Mkuruguzenzi wa CIA.
Rais John F. Kennedy alihudumu kama Rais wa 35 wa Marekani kuanzia Januari 20, 1961 hadi alipouwawa kwa kupigwa Risasi Novemba 22, 1963. Alipoingia madarakani, Mkurugenzi wa Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA) alikuwa Allen Dulles, ambaye alikuwa ameongoza CIA tangu Februari 26, 1953, baada ya kuteuliwa na Rais Dwight D. Eisenhower. Dulles alikuwa miongoni mwa maafisa wa ujasusi wenye ushawishi mkubwa katika historia ya Marekani, akiibadilisha CIA kuwa taasisi yenye nguvu iliyohusika sana katika operesheni za siri wakati wa Vita Baridi kote duniani.
Chanzo kikuu cha mgogoro kati ya Kennedy na Dulles kilikuwa uvamizi ulioshindikana wa Bay of Pigs mwezi Aprili 1961. CIA ilikuwa imeandaa mpango huo wakati wa utawala wa Eisenhower ili kumuondoa madarakani kiongozi wa Cuba Fidel Castro kwa kuwafundisha wahamiaji wa Cuba kuivamia nchi yao na kuanzisha uasi. Kennedy alipoingia madarakani, alirithi mpango huo. Ingawa alikataa kuruhusu msaada kamili wa kijeshi wa anga wa Marekani, akitaka kuepuka kuhusika moja kwa moja. Mipango ya uvamizi huo ilikufa haraka. Kennedy alihisi kuwa CIA ilikuwa imempa tathmini ya matumaini kupita kiasi na haikumweleza hatari zote ipasavyo. Hadharani alikubali jukumu la kushindwa huko, lakini Sirini alikasirishwa sana na uongozi wa shirika hilo.
Mnamo Novemba 1961, Kennedy alimlazimisha Dulles kujiuzulu kama Mkurugenzi wa CIA. Pia aliwaondoa maafisa wengine wakuu wa CIA waliohusika katika kupanga uvamizi huo. Kuondolewa kwake kulionyesha mabadiliko makubwa katika uhusiano kati ya Ikulu ya Marekani na jumuiya ya ujasusi. Chini ya Eisenhower, Dulles alikuwa na uhuru mkubwa wa kuendesha operesheni za siri, ikiwa ni pamoja na mapinduzi yaliyoungwa mkono na CIA katika Iran mwaka 1953 na Guatemala mwaka 1954. Kennedy, kwa upande mwingine, alitaka udhibiti mkali zaidi wa rais juu ya operesheni za siri na alikuwa mwangalifu zaidi kuhusu hatua ambazo zingeweza kusababisha vita vya wazi.
Mvutano kati ya Kennedy na baadhi ya watu ndani ya taasisi za usalama wa taifa uliendelea hata baada ya Dulles kuondoka madarakani. Wakati wa Mgogoro wa Makombora wa Cuba mwaka 1962, Kennedy alipinga shinikizo kutoka kwa wanajeshi na maafisa wa ujasusi waliotaka mashambulizi ya haraka ya anga dhidi ya Cuba, badala yake akachagua kuanzisha mzingiro wa baharini na kufanya mazungumzo ya kidiplomasia. Utayari wake wa kutafuta suluhu ya maelewano na Umoja wa Kisovyeti uliwafanya baadhi ya wakosoaji wake waone kuwa hakuwa mkali vya kutosha dhidi ya ukomunisti.
Baada ya Kennedy kuuawa tarehe Novemba 22, 1963, huko Dallas, Texas, uchunguzi rasmi ulihitimisha kuwa Lee Harvey Oswald alitenda peke yake. Uchunguzi huo ulifanywa na Tume ya Warren, iliyoteuliwa na Rais Lyndon B. Johnson. Kwa kushangaza, Allen Dulles alichaguliwa kuwa mjumbe wa tume hiyo. Uwepo wake baadaye ukawa chanzo cha mashaka miongoni mwa wakosoaji walioamini kwamba CIA huenda ilikuwa na jambo la kuficha.
Kwa miongo kadhaa, kumekuwepo uvumi na nadharia za njama zikidai kwamba baadhi ya watu ndani ya CIA walihusika katika njama ya kumuua Kennedy. Baadhi ya nadharia zinadai kuwa uamuzi wa Kennedy kumfukuza Dulles na nia yake ya kupunguza nguvu za CIA uliwafanya apate maadui ndani ya jumuiya ya ujasusi. Wengine huonyesha historia ya Oswald, ikiwemo kukimbilia Umoja wa Kisovyeti na baadaye kurejea Marekani, kama jambo la kutatanisha. Hata hivyo, licha ya uvumi unaoendelea, hakuna ushahidi wa moja kwa moja uliothibitisha kuwa CIA ilipanga mauaji ya Kennedy. Uchunguzi wa baadaye, ikiwa ni pamoja na ule wa Bunge la Marekani, haukuweza kuthibitisha hilo
#AD
CASINO YA VUNJABEI BET IMEWAKA! 🎰
Cheza michezo unayoipenda kama Aviator, Spaceman, JetX, Plinko, Comet Crash na slot games zenye ushindi mkubwa kila raundi! 💰🚀
🎯 Dau dogo, nafasi kubwa ya kushinda
⚡ Cashout za haraka
🎮 Michezo mingi ya kusisimua
🏆 Ushindi kila siku
Jiunge sasa na uanze safari yako ya ushindi!
🌐 https://t.co/Q1xnQKRZFl
🔞 18+ Pekee
#VunjabeiBet #Aviator
PUBLIC ANNOUNCEMENT:
Mbuzi 198 wanauzwa Pugu kwa TSh 130,00/= tu kila mmoja. ✅ Vibali vyote vipo.
Fursa adhimu kwa anayehitaji stock kubwa au herd nzima kwa bei nafuu. 🤝 Room ya mazungumzo ipo kwa mnunuzi makini.
Karibu,kuona ni kuamini
Wahi kabla ya Ijumaa
📞 0762 344 677
Jiandae na majanga mapema.
Usisubiri mpaka duka liteketee na moto, jilinde na wizi.
Kata bima yako ya mwaka 59,000 tu kupitia Simbanking uwe salama
#BenkiKimpangoWako
Benki imehamia kitaa
Sio lazima uende mbali kufuata huduma za kifedha, malizia yote kitaani kwako
👉🏽Wakala amesheheni
👉🏽Anafungua akaunti
👉🏽Anakata Bima 🛡️
👉🏽Anasoti malipo ya bili
👉🏽Anatoa pesa kwa kadi na SimBanking📲
👉🏽Anasajili SimBanking 📲
👉🏽Sogea kwa CRDB Wakala kitaani upate huduma za kibenki
#bongelawakala
#crdbbank
#tunakusikiliza
Dereva, gari lako linaweza kufanya kazi zaidi kwa kutumia Twende Driver.
@twenderide
Pata safari nyingi zaidi, ongeza kipato chako na uwe sehemu ya jukwaa linalokua kwa kasi TZ.
Jisajili leo
📍 Dar • Morogoro • Dodoma • Mwanza
Safari kwa abiria.
Fursa kwa madereva.🤝
Rafiki mwenye gari anaweza asipatikane... lakini Twende Ride ipo kila siku. 🚖📲
Rekwesti safari yako, fika unapotaka kwa urahisi na kwa gharama nafuu.
#TwendePamoja