Lazima uwe juu ya mke wako na vitu 3
1. UMRI
2. MAARIFA &
3. PESA
Mkeo pia lazima awe juu yako na vitu 5.
1. UVUMILIVU
2. USAFI
3. UPENDO
4. KUPANGA &
5. MAOMBI
Na mnapaswa kuwa sawa kwenye vitu 3
1. MAELEWANO
2. UVUMILIVU &
3. HESHIMA
Hapa Mnaishi Hadi Kufa na Kuzikana !
After 16 years of marriage, I realized there are 6 conversations every husband should have with his wife at least once a month.
Almost nobody does.
They are........
Who’s gonna win the World Cup? 🌎🏆
🇫🇷 France vs. Sweden 🇸🇪
🇺🇸 USA vs. Bosnia 🇧🇦
🇨🇭 Switzerland vs. Algeria 🇩🇿
🇿🇦 South Africa vs. Canada 🇨🇦
🇳🇱 Netherlands vs. Morocco 🇲🇦
🇵🇹 Portugal vs. Croatia 🇭🇷
🇪🇸 Spain vs. Austria 🇦🇹
🇧🇪 Belgium vs. Senegal 🇸🇳
🇧🇷 Brazil vs. Japan 🇯🇵
🇨🇮 Ivory Coast vs. Norway 🇳🇴
🇲🇽 Mexico vs. Ecuador 🇪🇨
🇩🇪 Germany vs. Paraguay 🇵🇾
🇦🇷 Argentina vs. Cape Verde 🇨🇻
🇦🇺 Australia vs. Egypt 🇪🇬
🇨🇴 Colombia vs. Ghana 🇬🇭
🏴 England vs. DR Congo 🇨🇩
Mmeona huyo mume wa mwanajeshi huko Arusha alichokipitia baada ya mke wake kufariki?
Namhurumia.
Yani sasa hivi ukipiga kapu teke wanaobaki wanajuta 🙌🏻
Mmengalia settings za hizo Smartphone zenu kwanza, au mnalialia tu mmeibiwa bando. 🤔
Isijekuwa Apps Updates umeziweka on auto-download with bundle na sio Wi-Fi, so bando linatumika hata ukiwa hautumii simu, unakuja kulalamika umeibiwa!
Yes, it is true kuwa gharama za internet zipo juu (especially ukizingatia kuwa it is a utility now) ila bado kuna baadhi ya issues ni sisi wenyewe; hasa ukizingatia kuwa Internet in Tanzania sio as expensive compared to some of our neighbors.
Just Saying 🤷🏾♂️