_Baada ya kufukuza watumishi kutokana na sababu mbalimbali , serikali haina madereva kabisa, inawezekana waliopo wanachoshwa sana au hawana uzoefu, serikali ifanye mpango wa kutoa ajira za madereva nyingi iwezekanavyo kuokoa maisha na nguvu kazi ya wafanyakazi wake wanaopotea.