@ZaynSalma1 Siku hyo hyo Tena Kama inawezekana kabla hajadumbukiza dudu lake kwenye shimo lako Kwan ukikaaa usibili huenda mara ya Kwanza na ya mwisho hvyo utakuwa umekosa vyote bora uambulie hata hela kidogo Kama laki 1 hv
Kiukweli @mkapa kututoka ccm tumepata pgo kubwa Kwan naamin mkapa ndio alikuwa nguzo na mwenye nguvu ccm na mpaka nakumbuka kauli yako uliyoitoa kwa lowasa ilionesha dhahili kwamba without you ccm nathing... father ccm umemwachia mjomba @magu tuu
ALICHOKISEMA SALMA KIKWETE BAADA YA KUONGOZA KURA ZA MAONI JIMBO LA MCHINGA
Salma Rashidi Kikwete ameibuka mshindi kura za maoni jimbo la Mchinga kwa kupata kura 92 akifatiwa na saidi ahmad mwenye kura 68 na riziki lulida mwenye kura 62.
Benki ya Dunia leo tarehe 01 Julai, 2020 imeitangaza Tanzania kuingia UCHUMI WA KATI.Nawapongeza Watanzania wenzangu kwa mafanikio haya.Huu ni ushindi mkubwa na kazi kubwa tumeifanya, tulipanga kuingia uchumi wa kati ifikapo 2025 lakini tumefanikiwa 2020.MUNGU IBARIKI TANZANIA