Thamani ya zawadi hupimwa zaidi kwa nia, dhamira na uwezo wa mtoaji. Zawadi isiyo na gharama kubwa iliyotolewa kwa moyo mkunjufu, unyenyekevu na upendo mkubwa yaweza kupokelewa na kupewa thamani kubwa kuliko zawadi yenye gharama kubwa iliyotolewa kwa mbwembwe na tambo nyingi.
YANGA YASHINDA 1-0
Timu ya Yanga imeibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Polisi Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, mchezo uliochezwa Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Shabiki Yeyote wa Yanga Adondeshe handle Ainiliwe hadi mawinguni ๐๐๐๐ Sisi wa Simba tuendelee kufuatilia kuapishwa mawakala๐๐๐๐๐
Huu ndo Uhuni MaCCM yamefanya huku Morogoro!
Ndugu zangu tunahimiza Wakina Mama kuchangamkia Nafasi za Uongozi Yet kuna mahuni yanafanya makusudi.
Very Sad Watu wanakaa Kimya?
Oneni aibu Vegetables! Shameless