Wazee tupigane tafu kwenye shughuli zetu za kiuchumi, haya maisha ni magumu sana, bila kushikana yanakua magumu zaidi, na hakuna kitu unapungukiwa kugusa mchongo hata wa mtu huna mazoea naye, we have battles, we have families to feed 🙏🏻
Kila anayesoma ujumbe huu akichangia shilingi 100 tu kwa siku, hawa watoto wa watanzania wenzetu unaowaona kwenye picha pamoja na wengine 300 wataweza kupata sare za shule kila mwezi. Shilingi 100 tu ndugu zangu yatosha kuwasitiri🙏🏿
#DalaTuAsome
VODACOM CHANGISHA
8152255
KAMA una stress au una makasiriko ya kimaisha, usipande kwenye madhabahu kuhubiri. Unaweza kujikuta umeshusha moto na kuwaunguza watu wa Mungu bila sababu.
First go and be reconciled, then come and offer your gift. 🙏
Katika kufanya kwangu kazi ya Ajira na kuijua Mikopo ndani Nje , Nje ndani naomba kushare hii kitu aisee
Nilikopaga Ili nianze side job siunajua Tena harakati
Niseme tu UKWELI BIASHARA NILIOIKOPEA ilikufa na hii ndio sababu ya kuandika huu Uzi kushare tu experience 🧵🧵🧵