Ten hag squad rebuild in Manchester united
Twende Pamoja ili tuelewe hiki anachokifanya huyu mholanzi pale Carington
Watu wengi tumemjua na kukubali kazi yake akiwa pale AJAX, na pale AJAX alitengeneza vikosi viwili tofauti kuna kile kilichoiadhibu Real madrid goli 4,
THREAD
You knew where to look when Tanzania needed a moment. ๐น๐ฟ
Issa Chole. TotalEnergies Player of the Competition. โ๏ธ
#TotalEnergiesAFCONU17 | @Football2Gether
@Celsius015 Wanawake wengi ndio walivyo ukitoa hoja ya kuwapingia silaha Yao pekee wanayokimbilia ni kuongelea jinsia, wao hata wakifanya upuuz wanataka wachekewe Kwa sababu ni wanawake
@MarekaMalili Kiongozi hebu naomba nifungue ubongo hapa, Kwa mfano uka invest 5mil UTT ikawa na return ya 10% - 15%, baada ya hapo unatumia hii investment kuchukua mkopo wa kama 4mil Ili ufanyie biashara zako Sasa,
Je hiyo investment ina ubaya gani hapo?
@TanganyikaKid Basi wewe ndio haujaelewa hii series, muuaji anajijua vzur na ana mipango yake safi ila tatizo lilikuja pale alipofanyiwa operation ya kichwa na kuwekewa upande wa ubongo wa jamaa ambaye hakuwa muuaji, pale ndio alipoanza kuji doubt
@haroldmafita97 Kwa kusema malisho mazuri una maanisha inabid viwepo vingine tofaut na kichungwa wale majani? Je huyo wa kg 20 huwa anafika bei gani sokoni?
@premdebrief After reading this I have been thinking about that dominate CB and I can clearly see that is not Licha or Maguire, hope Heaven and Yoro can be that
Usisubiri hadi kesho. Watoto wenye ualbino wanahitaji ulinzi na huduma za msingi leo ili kufikia ndoto zao. Tenda sasa, uwe sauti na ngao yao. #HakiJumuishi#WatotoWenyeUalbino
WEKA MAJI DIRISHANI USIKU WA LEO โ NGUVU HASI ZITAONDOKA, BARAKA ZITAINGIA NA MAAJABU YATOKEA NYUMBANI KWAKO
Fanya hivi :
โ๏ธ Jaza Glasi ya maji safi.
โ๏ธ Ongeza chumvi na sukari.
โ๏ธ Koroga taratibu huku ukisema dua au nia yako kutoka moyoni.
โข Weka glasi ya maji hiyo kwenye dirisha, karibu na dirisha kuu au dirisha la chumbani mwako.
Kisha iache hapo kwa saa 24 hadi siku 3.
**Nuia hii (sema kutoka moyoni โ maneno si lazima yawe kamili):**
โYaliyomo kwenye maji haya yaondoe nguvu zote hasi.
Utamu, amani na baraka viingie nyumbani kwangu.
Ulinzi uzunguke mimi na familia yangu.โ
**Baada ya siku 1 hadi 3:**
โ๏ธ Mwaga maji hayo nje (nje ya nyumba).
โ๏ธ Osha glasi vizuri.
Unaweza kurudia hii mara moja kwa wiki.
Kumbuka fanya hayo yote kwa imani na nia kubwa, Hatimaye utaona jinsi maisha yako yatakavyobadilika na kuwa bora zaidi.
๐ฏUsisahau kusema ASANTE Na tafadhali usiwe mchoyo na taarifa hii SHARE na familia na marafiki.
OPERESHENI Okoa Bolo iko Active
Weka Oda Yako upokee kwa Wivu mkubwa.
KATAA KIFILIMBI๐ซต